Nakuunga mkono Mkuu hii tabia ya kutuma picha za marehemu wa ajali za barabarani au kwa tukio lolote lile si nzuri hata kidogo. Inawezekana kabisa kwamba ndugu wa karibu wa marehemu hata hawana taarifa ya kifo na labda mmoja wa ndugu wa marehemu anaingia hapa na kukuta picha ya ndugu yake akiwa amekufa. Tuwape heshima marehemu na ndugu zao na kuacha mara moja hii tabia inayoshamiri kwa kasi ya kutisha hapa jamvini.
Apepe askari mtoa leseni.
Kifo pia ni funzo. Alivaa mkanda kwa wenye kujua kuchunguza?
Halafu mbona kama watu wamekemea utoaji wa picha hizi kuliko zingine? Nimewaza tu!
Nakemea picha zote zinapigwa bila kujali utu wa binadamu. Na nimewahi kukemea huko nyuma.
Jeshi la Polisi nchini limepata pigo jingine baada ya askari wake kutoka Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kufa katika ajali huko Kisarawe mkoani Pwani jana.
Aliyepoteza maisha ni Mkuu wa Kitengo cha leseni Mayfair
![]()
nimeshituka, maana ingekuwa njia ya goms pugu kisarawe ni maeneo mawili hatarishi, lakini ile ya kiluvya ukiwa dereva mgeni lazima ikupige tu....Pole wafiwa kwa maana ya wanafamilia na ndugu pamoja na jeshi la polisi. R.I.P marehemu.
Pamoja na hayo Kinondoni na Kisarawe ni tofauti kubwa labda tu kama:
1. Walienda kusalimia ndugu huko Kisarawe( Ila weekend na sare za jeshi)
2. Kule Kiluvya kwa kuwa Kiluvya Upande mmoja wa barabara ya Morogoro kulia ni Kinondoni na kushoto ni Kisarawe. Ila kama kwa njia ya Gongo la Mboto, ingeeleweka kama angalau wangekuwa wa Ilalaa
By the way RIP Kamanda wetu
Jeshi la Polisi nchini limepata pigo jingine baada ya askari wake kutoka Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kufa katika ajali huko Kisarawe mkoani Pwani jana.
Aliyepoteza maisha ni Mkuu wa Kitengo cha leseni Mayfair
![]()