Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,036
- 10,479
Wakuu nimesikia kwamba Ajali imetokea maeneo ya Kisarawe.
Imemuwa Kamanda wa kituo cha Polisi Oysterbay Na Pia Mkuu wa Kitengo Cha leseni TRA tawi la Mayfea Plaza.
Habari bado hazijadhibitishwa rasmi jinsi ajali ilivyotokea,hope watatujuza kabda ya kufunga Kipindi cha Alasari Lounge