mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,835
- 106,037
Kwani zamani kulikuwa hakuna ajaliMaisha yanarudi kama zamani
Ova
Kwani zamani kulikuwa hakuna ajaliMaisha yanarudi kama zamani
Umesoma mada pale juu ukaielewa lakini???Ajali za barabarani zimeanza kuongezeka.
Mabasi yameanza kupuuza sheria za usalama barabarani.
sio kama mwaka jana, sijaelewa ni kitu gani kimepelekea huu uvunjifu wa sheria, madereva wa mabasi ya abiria siku hizi wanaendesha mwendo kasi bila hata kujali mbele kuna trafiki.
poleni sana wafiwa.
Mihemko wapo wengi sana humu mdau jitu hata maelezo halisomi linakurupuka tu..Kwani zamani kulikuwa hakuna ajali
Ova
DUUH ....HIVI AJALI NAZO NI SEHEMU YA KAZI IENDELEE ...!!??
mbona zimekuwa nyingi ...
KILA KITUO POLICCM WANAFANYA UKAGUZI .....QN wanakagua au wana omba chai...Una hoja msingi sana. Huenda ni dalili ya kuanza kukithiri kwa rushwa na kulegalega kwa viongozi wa ngazi za chini.
Ajali za barabarani zimeanza kuongezeka.
Mabasi yameanza kupuuza sheria za usalama barabarani.
sio kama mwaka jana, sijaelewa ni kitu gani kimepelekea huu uvunjifu wa sheria, madereva wa mabasi ya abiria siku hizi wanaendesha mwendo kasi bila hata kujali mbele kuna trafiki.
poleni sana wafiwa.
Ni kweli zamani enzi za akina ngorika,matema,tawaqal nk mabasi yote tairi za mbele zilikuwa za kiwango hasa michelin,bridgestone,dunlop nk lakini leo mchina anatudanganya na muonekano wa bidhaa na si ubora yaani kama itel ya camera 4 kumbe wizi mtupu.Serikali ipige marufuku mataili ya kichina, hayaaminiki, yatatumaliza
sawa derevaUmesoma mada pale juu ukaielewa lakini???
Naamini kama ungeielewa usingeandika maneno mengi ivi maana umewekewa mpaka sababu ya ajali
Mama kasema, hamkalipii mtu yeye ni vitendo vikali tuuu. RTO, DTO ni mwendo wa kulala. Bila kalipio mama, hatufiki watu wako wameanza kupinda.Ajali za barabarani zimeanza kuongezeka.
Mabasi yameanza kupuuza sheria za usalama barabarani.
sio kama mwaka jana, sijaelewa ni kitu gani kimepelekea huu uvunjifu wa sheria, madereva wa mabasi ya abiria siku hizi wanaendesha mwendo kasi bila hata kujali mbele kuna trafiki.
poleni sana wafiwa.
Kuna MTU anataka amwagiwe sifaKwani zamani kulikuwa hakuna ajali
Ova
Juzi natoka Njombe kwenda Dodoma dereva wa Kimotco alikua anaendesha rough sana sanaTaarifa zilizotufikia muda huu katika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ni KwaMBA, basi la Kimotco likiwa kwenye mwendo Kasi limepindukia na kusababisha vifo vya watu wawili baada ya kupasuka tairi ya mbele.
Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo.
Basi Hilo lilikuwa Linatoka mkoani Arusha
View attachment 1987428View attachment 1987429