Ajali mbaya basi la Kimotco lapinduka na kuua wawili

Taarifa zilizotufikia muda huu katika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ni KwaMBA, basi la Kimotco likiwa kwenye mwendo Kasi limepindukia na kusababisha vifo vya watu wawili baada ya kupasuka tairi ya mbele.

Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo.

Basi Hilo lilikuwa Linatoka mkoani Arusha

View attachment 1987428View attachment 1987429
2976909_k2.jpg
 
Back
Top Bottom