Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 749
- 1,797
Taarifa zilizotufikia muda huu katika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ni KwaMBA, basi la Kimotco likiwa kwenye mwendo Kasi limepindukia na kusababisha vifo vya watu wawili baada ya kupasuka tairi ya mbele.
Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo.
Basi Hilo lilikuwa Linatoka mkoani Arusha
Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo.
Basi Hilo lilikuwa Linatoka mkoani Arusha