Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa. Mhadhiri kijana ; SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi. Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki. Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa
Mbona wenzenu tunapita humo miaka nenda rudi hatufi? Alikuwa lena huyo mnasingizia barabara!
Mhaziri mzima unaacha kuajiri dereva proffesional kazi zote unataka kufanya wewe.
We unadhani udereva mchezo.
Magufuli ndio anaetengeneza bara bara zisizo na viwango, malori yapo dunia nzima mbona kwingine hawalalamiki..
Mfano lori likitoka na mzigo bandari ya Dar mpaka Lusaka linapita barabara za tanzania mpaka border then linapita bara bara za zambia kuanzia boarder mpaka lusaka na mzigo uzito huo huo, mbona wenzetu hawalalamiki?
Magufuli mwizi tu, anajua kabisa bara bara zake hazina viwango ndio maana hajiamini, mbona rwanda, burundi, congo hawalalamiki wakati hayo malori yanaenda nchi zao na yanatembea kwenye bara bara zao na mizigo uzito huo huo waliotoka nao bandarini
Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa. Mhadhiri kijana ; SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi. Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki. Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa
tena tangia viroba vimekuwepo sokoni ndo imekuwa balaa kabisa
Ni kweli Baki, jumla wamekufa watu saba. Wawili kwenye Fuso na watano kwenye saloon. Watano familia moja. That woman was very confident and active. Kama movie vileMhhhh!!! Msiba mkubwa sana huu kwa wafiwa. Poleni sana.