Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

Kwangu mimi niliefundishwa nae enzi hizo anaanza kazi SUA kama tutorial assistant miaka ya 2005 nimehuzunishwa saana na kuondoka kwake duniani yeye pamoja na familia yake, alikuwa mhadhiri mwenye upendo , mwema na mkarimu kwa wanafunzi akitufundisha namna jinsi ambavyo kilimo cha mboga na matunda kilivyo katika nchi yetu hii na jitihada za kuweza kuwa na wataalamu wa kutosha katika fani ya Horticulture nchini miaka ijayo yaani 2015 kuwa wasomi wa holticulture tanzania wataongezeka, nina majonzi lakini mungu wetu ni mwema hivo yeye amempenda zaidi pamoja na wanae. Pole kwa mumewe mungu ampe faraja kipindi hiki kigumu zaidi cha safari mpya ya masikitiko.

541127_422087161188942_962892106_n.jpg 294140_212439505487043_1844832097_n.jpg
Enzi za uhai wake akiwa na familia yake kwa furaha na pendo la pekeee.

Katika mtandao wake nakumbuka aliweza kutuma post hii hapa, nanukuu ilikuwa ni JUN 20, 2013

"Muhubiri anasema:
"THERE IS A TIME FOR EVERYTHING, AND A SEASON FOR EVERY ACTIVITY UNDER HEAVEN:
a time to be born and a time to die, a time to plant and a time
to uproot, a time to kill and a time to heal, a time to tear down and a
time to build, a time to weep and a time to laugh, a time to mourn and a
time to dance, a time to scatter stones and a time to gather them, a time to
embrace and a time to refrain, a time to search and a time to give up, a time to keep and a time to throw away, a time to tear and a time to mend, a time to be silent and a
time to speak, a time to love and a time to hate, a time for war and a time
for peace." ECCLESIASTES:3:1-8

IN WHICH TIME ARE YOU?

Muhubiri anasema tena "I know that there is nothing better for men than to be happy
and do good while they live" ECCLESIASTES:3:12Nimetiwa moyo sana na maneno haya
"

Hayo ndo maneno yake mwenyewe SUMA MWAITULO,enzi za uhai wake!!!! may you R.I.P, Ameni
 
Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa.

Mhadhiri kijana: SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi.

Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki.

Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa.

=============
JamiiForums:

Tunasikitika kuwafahamisha wana JF kuwa tumempoteza mwanachama huyu wa JF ambaye amekuwa active member tangu 2009 hadi umauti ulipomkuta.

Tunatoa pole nyingi kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa uliowakuta. Tupo pamoja nanyi katika wakati huu mgumu.

-----------------------------

Dah, inauma sana, poleni sana wafiwa. Lakini barabara ya Dar Moro mbona iko vizuri tu, tatizo ni madereva, hasa wa malori uendeshaji wao ni mbovu sana, sijajua cenario halisi ya ajali lakini iuzembe wa madereva ni kisababishi kikuu cha ajali za barabarani. TUWE MAKINI BARABARANI, HASA TUNAPOOVERTAKE, HAPO NDIPO AJALI NYINGI HUTOKEA!
 
Pole kwa wafiwa. Kuendesha mwendo mrefu kwa watu wasio na uzoefu ni tatizo pia nchini

Sio kila mtu anapopata ajali barabarani basi hana uzoefu.
Unaweza kuwa ni mzoefu wa muda mrefu lakini bado yakatokea ya kutokea.

Kama unajikuta upo barabarani na mbele yako una face magari mawili yame-cover lane zote mbili pamoja na ya upande wako, na hata huwezi ukakimbilia nje ya barabara, utafanya nini?
 
R.I.P dada SUMA na ma uncle zangu na dada wa kazi!
Ni ngumu kuamini ila ni kuwaombea kwa Mungu, ni msiba mzito kwa famili hasa kwa Mme mana sasa amepoteza watoto wote wanne na mke pia!!

Yesu wangu... watoto wanne! Ee Mwenyezi Mungu mfariji mume mfiwa na wafiwa wote!!!

Mie niliwahi kupatwa msiba wa watu wawili at once jaman inauma acheni, huyu wanne simpatii picha!!!
 
Matumizi yeyote ya chombo cha moto ni muhimu kuchukua taadhari, licha ya hali ya miundombinu yetu kufahamika na kila mmoja namna ilivyo lakini bado uzembe nao unachangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa kasi ya ajali za barabarani. Mungu azilaze roho za marehemu mahali Pema peponi amen.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali Pema peponi amen.

Ningependa kuongeza hapa kuhusu ajali hizi za barabarani, mara nyingi wanaosababisha hizi ajali hata hawaonekani kwenye sehemu ya tukio, utakuta uendeshaji mbaya wa mtu mwingine unaghalimu maisha ya watu wengine. Kuna kitu cha kuzingatia hapa, ambacho ni DEFENSIVE DRIVING (uendeshaji wa kujihami). Mara zote tuwapo barabarani tutumie njia hizi nne:
1. Observe - Tazama
2. Identify- Tambua
3. Predict - Tabiri
4. Decide -- Amua

inauma sana unapopoteza familia ndugu na jamaa katika ajali kwa ajili ya kitu ambacho kingeweza kuzuiliaka, kama ku overtake ovyo, kukimbia sana bila sababu, kumbana mwenzio ambaye ameishafanya makosa kisa kumkomoa na kumsababishia ajali, usingizi, kutopunzika vya kutosha, turuhusu makosa ya wenzetu tuwapo barabarani, tuachane na simu, speed, na kuthamini maisha vilevile.

DRIVE TO LIVE
ARRIVE ALIVE

Mlinde kila mtumiaji wa barabara arudi nyumbani salama akaione familia yake.

Usingizi wa sekunde moja unaweza kughalimu maisha au kusababisha kilema,
 
kupoteza familia yote tena kwa mara moja inauma sana wakuu,pole sana ndg jimmy.
 
Jamani alikuwa anatumia ID gani marehemu.
R.i.p jamani.
Familia nzima, roho inauma.
 
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema ampe pumziko la milele huyu Ndugu yetu!
 
Kwangu mimi niliefundishwa nae enzi hizo anaanza kazi SUA kama tutorial assistant miaka ya 2005 nimehuzunishwa saana na kuondoka kwake duniani yeye pamoja na familia yake, alikuwa mhadhiri mwenye upendo , mwema na mkarimu kwa wanafunzi akitufundisha namna jinsi ambavyo kilimo cha mboga na matunda kilivyo katika nchi yetu hii na jitihada za kuweza kuwa na wataalamu wa kutosha katika fani ya Horticulture nchini miaka ijayo yaani 2015 kuwa wasomi wa holticulture tanzania wataongezeka, nina majonzi lakini mungu wetu ni mwema hivo yeye amempenda zaidi pamoja na wanae. Pole kwa mumewe mungu ampe faraja kipindi hiki kigumu zaidi cha safari mpya ya masikitiko.

View attachment 116636 View attachment 116637
Enzi za uhai wake akiwa na familia yake kwa furaha na pendo la pekeee.

Katika mtandao wake nakumbuka aliweza kutuma post hii hapa, nanukuu ilikuwa ni JUN 20, 2013

"Muhubiri anasema:
"THERE IS A TIME FOR EVERYTHING, AND A SEASON FOR EVERY ACTIVITY UNDER HEAVEN:
a time to be born and a time to die, a time to plant and a time
to uproot, a time to kill and a time to heal, a time to tear down and a
time to build, a time to weep and a time to laugh, a time to mourn and a
time to dance, a time to scatter stones and a time to gather them, a time to
embrace and a time to refrain, a time to search and a time to give up, a time to keep and a time to throw away, a time to tear and a time to mend, a time to be silent and a
time to speak, a time to love and a time to hate, a time for war and a time
for peace." ECCLESIASTES:3:1-8

IN WHICH TIME ARE YOU?

Muhubiri anasema tena "I know that there is nothing better for men than to be happy
and do good while they live" ECCLESIASTES:3:12Nimetiwa moyo sana na maneno haya
"

Hayo ndo maneno yake mwenyewe SUMA MWAITULO,enzi za uhai wake!!!! may you R.I.P, Ameni

Inauma uchungu hasa tukimwona mpendwa katika picha..RIP lecturer na familia yako!! Yaani watoto wote hao wamepotea at once!! Dah
 
Sio kila mtu anapopata ajali barabarani basi hana uzoefu.
Unaweza kuwa ni mzoefu wa muda mrefu lakini bado yakatokea ya kutokea.

Kama unajikuta upo barabarani na mbele yako una face magari mawili yame-cover lane zote mbili pamoja na ya upande wako, na hata huwezi ukakimbilia nje ya barabara, utafanya nini?

Wewe ni dereva kabisa?????!!!!

Na huwa unasafiri mwendo mrefu na hii ndio tathmini yako ya ajali? ?????

Kama huwa unafika salama basi mungu yupo upande wako sana,siku akisikia kilio cha mwengine na kuondoa attention kwako basi utaenda na maji fasta!!!!!!!
 
Poleni sana wafiwa wote na Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
Poleni sana jumuia ya SUA kwa msiba huu. Pole kwa mme wake na familia yote kwa ujumla!!!
 
R.I.P Mhadhiri Suma Mwaitulo pamoja na watoto na mlezi wao. Mungu Ampe faraja ya kweli mume/baba wa familia hiyo katika kipindi hiki kigumu, pamoja na wote walioguswa na msiba huu mzito. Poleni sana wana SUA na wana JF wenzangu.
 
wapumzike kwa amani.

ee Mungu mjalie mgane aliyebaki uwezo wa kustahimili haya, mfariji na kumtia nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Mpuuzi wewe, naogopa kula ban ila jua nimekushushia matusi mengi tu, kama humjui mtu usichonge domo lako kisa unalo, na ntafrahi nikiskia siku umekufa kwa ajali. R.I.P dasa SUMA na mauncle zangu

Utapata shida sana kukubali ukweli, lakini Mahadhiri ni mzembe, na uzembe wake umesababisha madhara makubwa kwa wengine. Ajali zote ni mlolongo wa mambo madogomadogo yanayosababishwa na UZEMBE.

Nani wa kulaumiwaaaaaaa MHADHIRIIIII!! Hapo DAR-MORO tu unauwa familia nzima ukiambiwa upeleke YUTONG Mwanza je?
 
Mkuu iache ipite hii,imechanganyika na uchungu wa kufiwa!!!!!

Objectivity unayoitegemea sio wote wanaweza ku deliver kwa sasa God willing siku moja itundikie uzi tu discuss haya yooote
 
Back
Top Bottom