Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

Mbona wenzenu tunapita humo miaka nenda rudi hatufi? Alikuwa lena huyo mnasingizia barabara!
Mhaziri mzima unaacha kuajiri dereva proffesional kazi zote unataka kufanya wewe.
We unadhani udereva mchezo.

Mnyaazi Mngu akusamehe..
 
RIP MWalimu Summa na Wanao na Dada yao.....MUNGU apumzishe roho zao PEMA
 
Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa.

Mhadhiri kijana: SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi.

Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki.

Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa.

=============
JamiiForums:

Tunasikitika kuwafahamisha wana JF kuwa tumempoteza mwanachama huyu wa JF ambaye amekuwa active member tangu 2009 hadi umauti ulipomkuta.

Tunatoa pole nyingi kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa uliowakuta. Tupo pamoja nanyi katika wakati huu mgumu.

-----------------------------

Mungu wetu, sifa na utukufu ni kwako. Hata iwe vipi utabaki kuwa MUNGU TU. Walale pema peponi. Pole kwa wafiwa.
 
Jehovah mfariji mkuu na awe na mume na baba wa hii familia,haielezeki kwa msiba huu mzito uliomkumba
 
Jamani hii kitu inayoitwa ajali uisikie Tu, nimepita Kabuku nikaiona gari aliyopata nayo ajali Dada yake Mbowe yaaani niliishiwa nguvu. Ile gari haifai hata kwa scraper. Baada ya hapo niliendesha kwa shida sana sana. Ni hatari, ukifika salama mshukuru sana Mungu
 
RIP mwalimu wangu wa miaka hiyo, i can remember you in those days, 8 years back! Dah, mwenyezi Mungu akuweke mahali pema peponi na kumfariji aliyekuwa mumeo na baba wa familia yako, amina!
Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa.

Mhadhiri kijana: SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi.

Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki.

Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa.

=============
JamiiForums:

Tunasikitika kuwafahamisha wana JF kuwa tumempoteza mwanachama huyu wa JF ambaye amekuwa active member tangu 2009 hadi umauti ulipomkuta.

Tunatoa pole nyingi kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa uliowakuta. Tupo pamoja nanyi katika wakati huu mgumu.

-----------------------------
 
Mkuu Jerhy, hata mie amenifundisha (principles of horticulture) mwaka huo huo first year mazimbu, ulikuwa general ama horticulture? Apumzike kwa amani huyu dada kwa kweli kwani kibinadamu ameondoka mapema sana. Mwenyezi mungu ameona ndiyo muda mwafaka wa yeye kumchukua, apumzike kwa amani!
Kwangu mimi niliefundishwa nae enzi hizo anaanza kazi SUA kama tutorial assistant miaka ya 2005 nimehuzunishwa saana na kuondoka kwake duniani yeye pamoja na familia yake, alikuwa mhadhiri mwenye upendo , mwema na mkarimu kwa wanafunzi akitufundisha namna jinsi ambavyo kilimo cha mboga na matunda kilivyo katika nchi yetu hii na jitihada za kuweza kuwa na wataalamu wa kutosha katika fani ya Horticulture nchini miaka ijayo yaani 2015 kuwa wasomi wa holticulture tanzania wataongezeka, nina majonzi lakini mungu wetu ni mwema hivo yeye amempenda zaidi pamoja na wanae. Pole kwa mumewe mungu ampe faraja kipindi hiki kigumu zaidi cha safari mpya ya masikitiko.

View attachment 116636 View attachment 116637
Enzi za uhai wake akiwa na familia yake kwa furaha na pendo la pekeee.

Katika mtandao wake nakumbuka aliweza kutuma post hii hapa, nanukuu ilikuwa ni JUN 20, 2013

"Muhubiri anasema:
"THERE IS A TIME FOR EVERYTHING, AND A SEASON FOR EVERY ACTIVITY UNDER HEAVEN:
a time to be born and a time to die, a time to plant and a time
to uproot, a time to kill and a time to heal, a time to tear down and a
time to build, a time to weep and a time to laugh, a time to mourn and a
time to dance, a time to scatter stones and a time to gather them, a time to
embrace and a time to refrain, a time to search and a time to give up, a time to keep and a time to throw away, a time to tear and a time to mend, a time to be silent and a
time to speak, a time to love and a time to hate, a time for war and a time
for peace." ECCLESIASTES:3:1-8

IN WHICH TIME ARE YOU?

Muhubiri anasema tena "I know that there is nothing better for men than to be happy
and do good while they live" ECCLESIASTES:3:12Nimetiwa moyo sana na maneno haya
"

Hayo ndo maneno yake mwenyewe SUMA MWAITULO,enzi za uhai wake!!!! may you R.I.P, Ameni
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jerhy, hata mie amenifundisha (principles of horticulture) mwaka huo huo first year mazimbu, ulikuwa general ama horticulture? Apumzike kwa amani huyu dada kwa kweli kwani kibinadamu ameondoka mapema sana. Mwenyezi mungu ameona ndiyo muda mwafaka wa yeye kumchukua, apumzike kwa amani!

Nilikuwa course ya Holticulture enzi hizo tupo na akina Bainga, Owekisha na wengio bila kumsahau Mzazi Mrema
 
Last edited by a moderator:
Okey, darasa la kina kalaye, masalu na wengineo!!! Mimi general na akina luseko, masisila, msimo and the likes! Ila siyo siri huyu dada ameniuma sana, may she RIP! Wahadhiri wengi sana wamefariki kama (ashimogo kwa ajali ya gari),msumari na neke and now suma! The list is just incresing, lol! Mwenyezi mungu awasamehe dhambi zao na wapumzike kwa amani!

Kinachotuumiza akili ni kwamba kwa nini wahadhiri wa SUA tena wenye vipaji vya utendaji kazi vifo vyao ni kifo kwa ajali, ,,,,, why,,,?
 
Kutokulalamika kwa viongozi wa nchi tajwa siyo kigezo cha kumpiga pini Magufuli. Majibu raisi ni kwamba kote huko wamo viongozi vimeo ambao hawana uchungu na rasilimali zao! Nikuulize tu kwa mfano: Congo wanapigana kwa miaka mingi wenyewe kwa wenyewe, so ulitaka na sisi tupigane kwa sababu wao wanafanya hivyo? Think big my dear! Hizi siasa uchwara zinatuharibia sana maendeleo!

Maafa yakitokea tunailaumu serikali sana; akitokea kiongozi mchapa kazi anayetaka kuleta mabadiliko katika fikra za waDanganyika tunampiga majungu sana! Hama kwa hakika hatuwezi kuendelea tukiendelea kuishi kwa mazoea!

Magufuli ndio anaetengeneza bara bara zisizo na viwango, malori yapo dunia nzima mbona kwingine hawalalamiki..

Mfano lori likitoka na mzigo bandari ya Dar mpaka Lusaka linapita barabara za tanzania mpaka border then linapita bara bara za zambia kuanzia boarder mpaka lusaka na mzigo uzito huo huo, mbona wenzetu hawalalamiki?

Magufuli mwizi tu, anajua kabisa bara bara zake hazina viwango ndio maana hajiamini, mbona rwanda, burundi, congo hawalalamiki wakati hayo malori yanaenda nchi zao na yanatembea kwenye bara bara zao na mizigo uzito huo huo waliotoka nao bandarini
 
My Sincere condolences to the Family, Relatives, Friends and all who knew SUMA Mwaitulo in one way or another. I am so shocked to the news, it so sad. My the Almighty GOD rest their souls in peace and we pray for the family.

AMEN
 
Back
Top Bottom