dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,485
hakuna alyetuloga ila bla bla ndyo zaidiYaani hii Bongo aliyeturoga, alitukomoa sana.

hakuna alyetuloga ila bla bla ndyo zaidi

kwanza natoa pole kwa ndugu wa mhadhiri,waswahili tunasema ajari haina kinga ingawa wenzetu wanapinga na mimi naona wapo right,inawezekana mhadhiri labda hakuwa na uzoefu wa kuendesha gari kwa long journey au tatizo la gari,anyway kwa barabara ya dsm moro angalau ipo katika viwango,kwa matumizi ya gari ndogo,sijui kwa malori,namuunga mchangiaji mmoja maana ni ajabu haya malori yanayosemekana yana beba mzigo mkubwa lakini huko yaendako hakuna tatizo,ilitakiwa barabara zetu ziwe bora maana kumbuka kuna nchi zaidi ya tano zinategemea kupitisha mizigo yao through our roads,sasa ukijenga barabara iliyo chini ya kiwango sijui unategemea nini,tena barabara yenyewe ya kawaida,zingekuwa za juu ingekuwaje,inabidi tanzania tuwe serious kwa kweli.
R.i.p mhadhiri na marehemu wengine walio kuwemo.Mbona wenzenu tunapita humo miaka nenda rudi hatufi? Alikuwa lena huyo mnasingizia barabara!
Mhaziri mzima unaacha kuajiri dereva proffesional kazi zote unataka kufanya wewe.
We unadhani udereva mchezo.
kwanza natoa pole kwa ndugu wa mhadhiri,waswahili tunasema ajari haina kinga ingawa wenzetu wanapinga na mimi naona wapo right,inawezekana mhadhiri labda hakuwa na uzoefu wa kuendesha gari kwa long journey au tatizo la gari,anyway kwa barabara ya dsm moro angalau ipo katika viwango,kwa matumizi ya gari ndogo,sijui kwa malori,namuunga mchangiaji mmoja maana ni ajabu haya malori yanayosemekana yana beba mzigo mkubwa lakini huko yaendako hakuna tatizo,ilitakiwa barabara zetu ziwe bora maana kumbuka kuna nchi zaidi ya tano zinategemea kupitisha mizigo yao through our roads,sasa ukijenga barabara iliyo chini ya kiwango sijui unategemea nini,tena barabara yenyewe ya kawaida,zingekuwa za juu ingekuwaje,inabidi tanzania tuwe serious kwa kweli.
mnamkata ngebe kwa kila hali,makampun ndio hayo hayo yakwenu mnatumia kila njia mpate tender za kutengeneza barabara feki,Magufuli peke yake hawezi mko wengi na mna nguvu kubwa,magogoni mnaenda hata na ndala,na haitusaidii sana,anyway vyanzo ajali za mara kwa mara kwa sasa tz inaweza kuwa..
uchakavu wa vyombo hivi vya moto
ujuzi hafifu wa kuvitumia
ulevi
miundombinu mibovu
vifaa feki i.e matairi
uzembe
Hii ni mbaya mno. Imaumiza sana.
Watu siku hizi kwa kwenda nje ya mada hatujambo.
RIP Waliofariki, Poleni wafiwa.
Mbona wenzenu tunapita humo miaka nenda rudi hatufi? Alikuwa lena huyo mnasingizia barabara!
Mhaziri mzima unaacha kuajiri dereva proffesional kazi zote unataka kufanya wewe.
We unadhani udereva mchezo.
Yaani ndo hapo huwa nachoka ! Ukimpinga magufuli kwenye issue ya mizani basi unaonekana nawe una lori! Hivi ni lini tutakuja kukubali plain facts?? malori yanaonekana yanaoverload Tanzania tu yakienda rwanda au zambia yako safi..... du! Tafakari Mtanzania !!!