Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

Mungu ailaze roho yake pema peponi mwalimu wangu wa vegetable.
 
rip mhadhiri
samahani tu kuuliza aliaga??maana kuna vibinti kule sua unahisi vinasoma tu ukivichezea ukavitosa lazima vipige simu HANDENI loh polen wafiwa
 
Arehemiwe!!!!!

Huo ukweli watu wengi wanaupinga sababu wapo kundi hilo!!!!

Hizi automatic zinawadanganya sana, vihela kidogo tu ooooh na mimi nna gari mjini siku hizi hatuna raha medereva wazembe kibao foleni moja kwa moja. Na kwa taarifa yetu tusipokubali ukweli tutakwisha.

Na angepona ni mahakamani tu bahati yake!
 
Mkuu iache ipite hii,imechanganyika na uchungu wa kufiwa!!!!! Objectivity unayoitegemea sio wote wanaweza ku deliver kwa sasa God willing siku moja itundikie uzi tu discuss haya yooote

Wewe nina imani huwa unaangalia "Discovery Channel" au "National Geographical"
Tutengeneze za kibongo kuhusu "Car Crush Investigation"
 
Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa.

Mhadhiri kijana: SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi.

Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki.

Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa.

=============
JamiiForums:

Tunasikitika kuwafahamisha wana JF kuwa tumempoteza mwanachama huyu wa JF ambaye amekuwa active member tangu 2009 hadi umauti ulipomkuta.

Tunatoa pole nyingi kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa uliowakuta. Tupo pamoja nanyi katika wakati huu mgumu.


-----------------------------

Moderator tuwekeeni jina alilokuwa anatumia marehemu..
 
Last edited by a moderator:
Wewe nina imani huwa unaangalia "Discovery Channel" au "National Geographical"
Tutengeneze za kibongo kuhusu "Car Crush Investigation"

Yote tu kaka bila kusahau "crime" pale zuku. Hili la ajali za wafanyakazi (baadhi) na magari ya mikopo ni jinamizi la kimyakimya ambalo mpaka tukijakulikubali basi nyumba nyingi zitakuwa zimeloa machozi!!!!!

Alikuwa na gari gani wakati wa ajali??? If I may ask kwa wanaojua
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahali Pema peponi amen. Ningependa kuongeza hapa kuhusu ajali hizi za barabarani, mara nyingi wanaosababisha hizi ajali hata hawaonekani kwenye sehemu ya tukio, utakuta uendeshaji mbaya wa mtu mwingine unaghalimu maisha ya watu wengine. Kuna kitu cha kuzingatia hapa, ambacho ni DEFENSIVE DRIVING (uendeshaji wa kujihami). Mara zote tuwapo barabarani tutumie njia hizi nne:

1. Observe - Tazama
2. Identify- Tambua
3. Predict - Tabiri
4. Decide --
Amua inauma sana unapopoteza familia ndugu na jamaa katika ajali kwa ajili ya kitu ambacho kingeweza kuzuiliaka, kama ku overtake ovyo, kukimbia sana bila sababu, kumbana mwenzio ambaye ameishafanya makosa kisa kumkomoa na kumsababishia ajali, usingizi, kutopunzika vya kutosha, turuhusu makosa ya wenzetu tuwapo barabarani, tuachane na simu, speed, na kuthamini maisha vilevile.DRIVE TO LIVE ARRIVE ALIVEMlinde kila mtumiaji wa barabara arudi nyumbani salama akaione familia yake.Usingizi wa sekunde moja unaweza kughalimu maisha au kusababisha kilema,

Hapo kenye Red! Kaka imenigusa kunako.

To watch carefully with attention to details and behavior for judgment. Na katika Owner's Manual ya TOYOTA
wanaenda mbali kidogo kuitafsiri Observe, as to foresee any "unprecedented"

Je wangapi wamewahi kusoma Owner's Manual za magari yao?
 
RIP dada Suma na watoto,mtu unarisk unabeba familia nzima,tena MOROGORO road,aiseee
 
Mpuuzi wewe, naogopa kula ban ila jua nimekushushia matusi mengi tu, kama humjui mtu usichonge domo lako kisa unalo, na ntafrahi nikiskia siku umekufa kwa ajali. R.I.P dasa SUMA na mauncle zangu

Dua la kuku!
 
Hapo kenye Red! Kaka imenigusa kunako.

To watch carefully with attention to details and behavior for judgment. Na katika Owner's Manual ya TOYOTA
wanaenda mbali kidogo kuitafsiri Observe, as to foresee any "unprecedented"

Je wangapi wamewahi kusoma Owner's Manual za magari yao?
Ya gari langu la mkopo imeandikwa KIJAPAN LOL
 
Ulitakaje??????!!!!!!!Wengine angewakodia Taxi au????!!!!!!!

Wanaopanda mabasi ya DAR-MORO si masikini, wame-calculate risk!
Unajidai unawapenda watoto kumbe unawauwa kijanja.

Kama hutaki kuliwa na Mbweha usizurule mwituni!
 
Back
Top Bottom