Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 757
- 672
Gari halikuwa na abiria lilitoka arusha lilipofika Mto Wami liliharibika abiria wakafaulishwa lilipotengamaa ndo likaja tupu bila abiria na kuparamia kituo cha kimara baruti
Walishasema isitumiwe tena na magari/mabasi binafsi.kampuni ilipe fidia ya.uharibifu huuu.
Ni uzembe, hawa madereva wa mabasi huwa hawataki kupita kwenye njia za kawaiada lazima walazimishe kwemye brt.
itungwe sheria kali sana otherwise , tutanyoa vituo vyote
Naona uko katika ubora wako...............Sijui kampeni yetu ya kutokomeza ajali itafanikiwa? Maanake mratibu mkuu ukianza kuamini ajali hizi ni uchawi badala ya sababu za wazi ukiwemo uzembe,tuna shida kubwaEneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
sasa na wewe baada ya kuleta vitu "sensitive" unaleta upumbavu!! unafikiri kila mtu ana akili kama zako be a grown man and not always rethink witch craft.Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Ni fikra za upande wa pili na historia ya eneo husika, lazima turuhusu mitazamo ya aina zoteNaona uko katika ubora wako...............Sijui kampeni yetu ya kutokomeza ajali itafanikiwa? Maanake mratibu mkuu ukianza kuamini ajali hizi ni uchawi badala ya sababu za wazi ukiwemo uzembe,tuna shida kubwa
You always don't know what you don't know ....what you may think is sensitive is you mayb senseless to otherssasa na wewe baada ya kuleta vitu "sensitive" unaleta upumbavu!! unafikiri kila mtu ana akili kama zako be a grown man and not always rethink witch craft.
"kimara"=kimaliza!Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Mkuu umenifanya nismile, macho ya rohoniWenye macho ya rohoni tumekuelewa
Asante kubwa la wachawi.Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Duuh poleni, nawe ulikuwa abiria wa hilo basi?Daah, dereva kapuliza bangi asubuhi asubuhi. Sisi abiria tulidhani ni teja, kumbe ndiye dereva wetu!
wala sio uzembu ni hujuma, wamachame watu hatari sana.Huu ni uzembe
Haya sasa tunasuniria mradi kuanza
Huyu naye mpumbavu kaharibu kituo
Utasikia mwezi wa 8
Ndio majaribio
Kama wewe ni mtumiaji wa magari au vyombo vya moto hupaswi kuwahi kutoa conclution ya aina hiyo hata kabla ya kujua sababu za ajali hiyo. Kweli yaweza kuwa uzembe, lakini lazima idhibitishwe maana zipo ajali nyingi zinasababishwa na vyombo vyenyewe, ubovu wa miundo mbinu na sababu zingine za nje ya uwezo wa kibinadamu.Huu ni uzembe
Haya sasa tunasuniria mradi kuanza
Huyu naye mpumbavu kaharibu kituo
Utasikia mwezi wa 8
Ndio majaribio