Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,863
- 47,513
chanzo cha ajali ni nini mkuu kuna watu walikua wanavuka au ilikua uso kwa uso na scania ndio akaamua kuipachika huko picha tuu hii mnatoa comment..
Mkuu, wabongo huwa tunajifanya hatuamini mambo ya uchawi lkn uchawi upo.Ni fikra za upande wa pili na historia ya eneo husika, lazima turuhusu mitazamo ya aina zote
Mkuu chanzo cha ajali na kupoteza uelekeo na kuvamia hicho kituochanzo cha ajali ni nini mkuu kuna watu walikua wanavuka au ilikua uso kwa uso na scania ndio akaamua kuipachika huko picha tuu hii mnatoa comment..
Interesting!Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Kama basi linatoka Dar hadi Kampala dereva ni mmoja itakuwaje kwa haya ya Dar-Arusha, Dar - Mbeya?Ila hawa jamaa si ni wamekatazwa kuendesha safari ndefu driver mmoja
Wakishafika Kimara wanaingia njia ya mwendokasi, wanakuja kufanya fujo sasa Ubungo kwenye traffic lights. Hizo kasi zao kwenye mwendo kasi acha tu.Madereva ndio chanzo cha ajali nyingi. Ukifikiri na kutafakari utashangaa huyu dereva alikuwa na haraka gani wakati kesha fika kimara!
Mbona matusi kulikoni, kama umeona kosa nijuze kwa kusahihisha, si uungwana kumtusi mwenzio bi mdada= ajali
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mbona matusi kulikoni, kama umeona kosa nijuze kwa kusahihisha, si uungwana kumtusi mwenzio bi mdada