Aksante nashukuru kwa uungwana wakoHilo tusi liko wapi? Watanzania mkiulizwa kitu ambacho ni kweli kinawasibu mnaona mmetukanwa.
Wana hatari gani mkuu....wala sio uzembu ni hujuma, wamachame watu hatari sana.
wewe haujasikia yule jamaa aliyefadhili mgomo wa madaktari?Wana hatari gani mkuu....
Naye mmachame siyo?wewe haujasikia yule jamaa aliyefadhili mgomo wa madaktari?
mmmmhhh!!!Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Kila mara au nimekoseaEneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Ila hawa jamaa si ni wamekatazwa kuendesha safari ndefu driver mmoja
halikua na abiria gari lilikua bovu.Juzi tumeskia leina tour imeua ilipofika kimara na Leo tena muro ni bas inatoka wapi?
Vp majeruhi na abiria wapoje katka usalama wao na Mali zao kiujmla tupeen taarfa zaidi...
Unanunua au bureongeza sambusa yako nyama ili iongeze utamu na kuvutia.. maana hapa ilipo haina tofauti na andazi