bangi za dereva, hawataki kupita kqemye njia za kawaiadaHili eneo la ajabu kila weekend utasikia basi la mkoani limepata ajari. Kunani hapo Kimara?
Mkuu gharama ya hicho kituo sijui kama ataimudu,wachina waende tu wakakisuke upya hicho kituoHuyo atajenga upya hicho kituo daaah
Muro ni gari ya abiriaHalafu hiyo njia ya mwendo kasi si wamekataza kutumiwa na Magari ya binafsi
Mkuu abiria wanakua na gari? Hiyo ni gari binafsiMuro ni gari ya abiria
Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamiaDereva sijui alikua kachoka
Atakayeumia ni kampuni ya bimaM
Mkuu gharama ya hicho kituo sijui kama ataimudu,wachina waende tu wakakisuke upya hicho kituo
Mkuu abiria wanakua na gari? Hiyo ni gari binafsi
Wenye macho ya rohoni tumekuelewaEneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Hili eneo la ajabu kila weekend utasikia basi la mkoani limepata ajari. Kunani hapo Kimara?