AJALI: Basi la Princess Muro lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

AJALI: Basi la Princess Muro lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

Susuma naomba nikuulize, ajali ya gari ya Princes ina uhusano gani na bandari ya Tanga na wakenya kukamatwa na vikoa au ni mods wamechemsha kuunga unga?
 
Watanzania hatuishi maneno ya kejeli kabla ya kusoma mazingira ya ajali yenyewe na kuchunguza kwanza. Ukiangalia hilo basi jinsi lilivyokaa hapo unapata picha kwamba dereva amelipeleka hapo makusudi, kama isingekuwa makusudi hilo basi lisingeingia kwakufuata hiyo korido yaani lingegonga ukuta au hizo nondo za pembeni na kupinduka; Mpaka hapo unapata picha kuwa gari halikuwa kwenye mwendo mkali sana na wala dereva alikuwa hajalewa. Swali la kujiuliza ni nini kilichopelekea mpaka dereva akalichomeka hapo? There must be a reason either dereva alikuwa anakwepa kitu, au kulitokea mechanical failure ya chombo dereva akaona bora aliingize hapo na si kusababisha ajali mbaya zaidi ya hiyo.
Dereva ndiye anayejua siri ya hiyo ajali kutokana na mazingira ya ajali yenyewe.
 
MKUU UNA KUMUBUKA JANA NLIKUAMBIA YA KUWA MADEREVA WENGI WA MAGARI MAKUBWA AKILI ZAO HAZIKO SAWA,

OVA
Watanzania hatuishi maneno ya kejeli kabla ya kusoma mazingira ya ajali yenyewe na kuchunguza kwanza. Ukiangalia hilo basi jinsi lilivyokaa hapo unapata picha kwamba dereva amelipeleka hapo makusudi, kama isingekuwa makusudi hilo basi lisingeingia kwakufuata hiyo korido yaani lingegonga ukuta au hizo nondo za pembeni na kupinduka; Mpaka hapo unapata picha kuwa gari halikuwa kwenye mwendo mkali sana na wala dereva alikuwa hajalewa. Swali la kujiuliza ni nini kilichopelekea mpaka dereva akalichomeka hapo? There must be a reason either dereva alikuwa anakwepa kitu, au kulitokea mechanical failure ya chombo dereva akaona bora aliingize hapo na si kusababisha ajali mbaya zaidi ya hiyo.
Dereva ndiye anayejua siri ya hiyo ajali kutokana na mazingira ya ajali yenyewe.
 
Kuna ajali imetokea mida hii saa 11.00 usiku maeneo ya kimara baruti.basi limeingia kwenye kitoa cha mabasi ya mwendo kasi.View attachment 332550
ATTACH]
View attachment 332553View attachment 332554

Updates:
Abiria wote wametoka salama.konda pekee ndio aliyepata majeraha kidogo.
poleni sana wapendwa wetu kwa ajali hiyo, Tunawaombea waliopata majeraha na maumivu madogomadogo Mungu awatie nguvu mtapona tu.
 
Susuma naomba nikuulize, ajali ya gari ya Princes ina uhusano gani na bandari ya Tanga na wakenya kukamatwa na vikoa au ni mods wamechemsha kuunga unga?
Mimi mwenyewe nimeshangaa!
 
[QUsmrangi, post: 18285650, member: 209781"]MKUU UNA KUMUBUKA JANA NLIKUAMBIA YA KUWA MADEREVA WENGI WA MAGARI MAKUBWA AKILI ZAO HAZIKO SAWA,

OVA[/QUOTE]
Kikubwa nilichokifanya ni kusoma mazingira ya ajali yenyewe na majibu niliyoyapata ndio yale niliyoyaainisha. Kama hoja yako ni kama ulivyosema sikupingi kwasababu bado sijafanya uchunguzi wa hilo jambo.
Swali la kukuuliza kwanini madereva wa magari makubwa akili zao haziko sawa kama unavyosema?
 
Susuma naomba nikuulize, ajali ya gari ya Princes ina uhusano gani na bandari ya Tanga na wakenya kukamatwa na vikoa au ni mods wamechemsha kuunga unga?
.....na wewe umeufukunyua huu uzi kuuliza swali hilo tu ama?..,maana muda umepita sana;
...au mods wamekosea
 
Hii kali.. yaani limeingia kabisa ktk kituo cha mwendo kasi..? Au dereva ana hangover huyo..? Eeh
 
WAZIRI WA KENYA NA KATIBU MKUU WAKE WAZUILIWA WAKITAKA KUINGIA AIRPORT YA TANGA BILA KIBALI

Kama mlisia Jana Wakenya wanekamatwa Tanga Airport wakitaka kwenda kukagua Bandari ya Tanga, Kwa kudandia msafara wa Waziri wa Uganda. Habari tulizopokea ni kwamba, Waziri wa Uganda aliomba kibali Cha kuja na Helikopta Moja na msafara wake, baada ya kupewa kibali na kuruhusiwa kuingia Tanzania, hali ilibadilika baada ya wataalam wa Tanzania Wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Mkuu wa Mkoa wa Tanga kushangazwa na ujio wa Helikopta nyingine 3 zikiwa zimewabeba Waziri wa Kenya, Katibu Mkuu wake na wataalam wao. Kilichoshangazwa ni kwamba Ujumbe wa Kenya ulikuwa mkubwa karibu Mara 2 ya Waganda ambao Ndio walioruhusiwa kuingia nchini. Baada ya wana Usalama kuiona Hilo waliamua kuchukua hatua za haraka kuwazuia Wakenya wasiingie na kusubiri Airport hadi Waziri wa Uganda alupomaluza ziara yake Bandari ya Tanga na wakaruhusiwa Kurudi kwao Kenya. Watanzania tuwe macho, Kwa nini hawa Wakenya waje kukagua Miundombinu yetu wakati ni washindani wetu kwenye Mradi huu wa Bomba? Watanzania tuwe Makini sana na hawa wenzetu tunaweza kuingia kwenye mtego wa Wakenya, Kwa Kuwa mwenye maamuzi ya Mradi huu upite wapi ni Uganda, ushauri wangu Uganda waende Kenya na Tanzania wenyewe na wataamua wao, kukagua ili kupata uwezo wa Bandari husika na vivutio vya nchi husika. Tukiruhusu Wakenya kuja huku Kama walivyofanya Tanga watataka kujua hata vivutio ambavyo tunaweza kuwapatia Uganda na kushusha Vya kwao ili kuongeza ushindani.

Watanzania wenzangu sioni sababu za msingi za Wakenya kuja kutembelea Bandari yetu Kwa Kuwa tunashindana kupata Mradi huu. Kama kuna Mtanzania atafanya Hilo kosa na kuruhusu hili wanaweza kuja na hoja ya kutaka kupita maeneo yetu ambayo Bomba litapita, na wanaweza kutumia hii Kama kigezo cha kuongea na wanganda kutukandamiza.

Kwa Kuwa tupo kwenye mapambano, Rais wetu JPM Sasa muda umefika wa yeye kwenda Nje ya nchi, mwenzake Uhuru Kenyata wa Kenya anakwenda Uganda kila kukicha kuhakikisha anabadilisha mawazo ya Uganda. Sasa Kama sisi Rais wetu kagoma kwenda Nje ya nchi, wataalam na Viongozi wengine nao hawatoki hadi kibali je tutaweza kwenda Kwa kasi ya Kenya? Naawambia kama Rais wetu hata toka Mradi huu tusahau kuupata na tutajilaumu. Tunajua Juhudi zinazofanywa na Mhe. Muhongo tangu Marais wetu (TZA na UG) watoe maamuzi ya Mradi kupita Tanzania 1/3/2016 Jijini Arusha, na baadae kufuatiwa na Mkutano wa Makatibu Wakuu wa UG na TZA 16/3/2016 Jijini Arusha na kusainiwa Kwa makubaliano ya mpangokazi wa Mradi Kati ya Waziri Muhongo wa TZA na mama Irene wa UG 17/3/2016. Makubaliano hayo yalileta mshtuko Kwa Serikali ya Kenya na Kulazimu Rais wa Kenya kufanya ziara ya kushtukiza kwenda kumuona Rais wa Uganda wiki Moja baada ya kusainiwa Kwa malubaliano hayo. Licha ya Rais huyo kwenda Uganda hawakupewa jibu la kuridhisha kwani kigezo Cha Usalama kimekuwa kikwazo kikubwa Kwa Uganda kupitisha Bomba nchini humo. Baada ya kukwama katika hatua hiyo, Wakenya Wamepanga kwenda tena Uganda kuendeleza majadiliano, na Ndio maana wametaka kuja Bandari ya Tanga kuchunguza ili wakikutana tena wapeleke taarifa za Uongo Kuwa Bandari yetu sio salama, tunawashukuru wanausalama wetu Kwa Kuwa Makini na kuzuia hilo. Tuongeze mshikamano, tumuunge mkono Waziri Muhongo Kwa kusimamia sekta hii Kwa karibu, ongeza kasi zaidi na Kama utaweza kaweke Kambi Uganda, Wakenya wakienda wanakuta Mzee upo huko unakula mazoezi ya kuchukua Mradi.
Wakenya walikasirika sana siku hiyo baada ya passport zao kushiliwa na kuwataka wakae pale uwanjani mpaka ziara ya Msafara toka Uganda na watalaamu wa kujenga bomba kuruhusiwa kwenda Bandarini Tanga
 
Eneo lote hilo la kimara ni kilinge cha wachawi, kumbuka kimara bucha palivyoteketeza roho za mamia
Asili ya hilo jina ni ajali nyingi zilizokuwa zinatokea eneo hilo na kuua watu wengi
Labda kuna kaukweli hapo
 
Back
Top Bottom