achana na binti kiziwi ile ni maliUshawahi kumuona binti kiziwi Nifah au unaropoka tu?
achana na binti kiziwi ile ni maliUshawahi kumuona binti kiziwi Nifah au unaropoka tu?
Duuuh kuna nini tenaa humu??
Wewe tena.!Mkuu! Hajaona guu lako la bia na rangi yako ya andazi!
Mkeka upi?Baada ya kuona ule mkeka, niliishiwa pozi kabisa mdogo wangu
Dogo bado mshamba sana, haelewi nguvu ya filterFilter zile we Jichanganyee🤣🤣🤣🤣
Aloo kumbe macho yangu haya oni vele yanapaswa kuona?? 😂Mshamba huyu hajui.
Hajui JF kuna pisi hiyo macho mlenda akikuangalia unahisi kufa kufa.
Ana kifusi hicho makebo si makebo, magurudumu si magurudumu.
Kakuwekea na shanga kiunoni.
Ukimuambia atabisha😀
Acheni kuwapa vichwa hao wanawake wasio na uzuri wa aina yoyoteachana na binti kiziwi ile ni mali
Mrembo huyo ana sura innocent utafikiri anaimba choir pentekoste. Kumbe ni balaa.We kijana mdogo umejuaje yote haya sasa 🤣🤣
Masikini umedanganywa na filtersBaada ya kujiunga tiktok nimejikuta nakutana na wanawake kama malaika...
Hii imesababisha mimi kuachana na wanawake wa mitandao mingine maana ni wabovu kupindukia..
Sijui nilikuwa wapi mie..
Wacha Nile vitu vizuri kabisa.
N/B jf hakuna pisi, kuna kausha damu tu wabovu, mama Amina akasome.
Anyways, weekend loading.
MKuu kuna kisafisha sura na muonekano kule, kila mtu tiktok ataonekana mzuri ila asilimia kubwa niseme 90% ukikutana nao uso kwa uso unabadili mawazo yako hayoBaada ya kujiunga tiktok nimejikuta nakutana na wanawake kama malaika...
Hii imesababisha mimi kuachana na wanawake wa mitandao mingine maana ni wabovu kupindukia..
Sijui nilikuwa wapi mie..
Wacha Nile vitu vizuri kabisa.
N/B jf hakuna pisi, kuna kausha damu tu wabovu, mama Amina akasome.
Anyways, weekend loading.
Jirani yangu nitaache kukuona?Wewe mwenyewe hujawahi kuniona