Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Baada ya kujiunga tiktok nimejikuta nakutana na wanawake kama malaika...

Hii imesababisha mimi kuachana na wanawake wa mitandao mingine maana ni wabovu kupindukia..

Sijui nilikuwa wapi mie..

Wacha Nile vitu vizuri kabisa.

N/B jf hakuna pisi, kuna kausha damu tu wabovu, mama Amina akasome.

Anyways, weekend loading.
jichunge watakufilis vizuri tu
 
Huyo kwako ndio tafsiri ya pisi kali sio?Vizuri sana

Sasa nikuulize kudogosha wanawake hua inakupa furaha sana?

Sijawahi kuona mwanamke akifungua nyuzi za hivi
Je ni kwamba nyie baadhi ya wanaume mna msongo wa mawazo juu hii gender yetu?
Kwenye huu ulimwengu hakuna mwanamke mbaya wala mzuri kila mtu ana mtazamo wake kuhusu uzuri na ubaya wa mtu ,unayemuona mzuri kwako ni mbaya kwa mwingine haina maana kuwabully wanawake kulingana na muonekano wao.
 
Tiktok na FB nimezifuta kitambo sana hazina maajabu, zinachochea screen addiction
Hahaha, hauja follow pisi zinazo jielewa, una follow vidampa tu. Kuna mali kule zaidi hata ya instagram nakwambia... Ni pisi ambazo ziko accessible na za moto kweli kweli
 
Back
Top Bottom