Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Aisee TikTok kuna pisi mazeer

Baada ya kujiunga tiktok nimejikuta nakutana na wanawake kama malaika...

Hii imesababisha mimi kuachana na wanawake wa mitandao mingine maana ni wabovu kupindukia..

Sijui nilikuwa wapi mie..

Wacha Nile vitu vizuri kabisa.

N/B jf hakuna pisi, kuna kausha damu tu wabovu, mama Amina akasome.

Anyways, weekend loading.
Ok.🐒
 
Ngosha, nitampigia binti kiziwi nimpe hizi habari.
Aisee huyo Mwambie tu, maana akshanikalisha benchi sana. Wacha nipambane na pisi za tiktok, totoz kali mpaka unasema hii dunia nilikuwa wapi ku enjoy?
 
This is so pathetic. Imagine, posting this to give people the impression that you are a youngman pursuing pisi.
That, unakula mademu wakali aka pisi kali.

Mwakani unatimiza miaka 60!
Hivi huoni huu upuuzi unaoposti kila wa leo sounds awkward and creepy.
 
Hahahaha, sisi wanaume hatujali.. Tunatafuna tu..

Maisha yenyewe mafupi haya
 
Huyo kwako ndio tafsiri ya pisi kali sio?Vizuri sana

Sasa nikuulize kudogosha wanawake hua inakupa furaha sana?

Sijawahi kuona mwanamke akifungua nyuzi za hivi
Je ni kwamba nyie baadhi ya wanaume mna msongo wa mawazo juu hii gender yetu?
Mshamba huyu hajui.

Hajui JF kuna pisi hiyo macho mlenda akikuangalia unahisi kufa kufa.

Ana kifusi hicho makebo si makebo, magurudumu si magurudumu.

Kakuwekea na shanga kiunoni.

Ukimuambia atabisha😀
 
Mshamba huyu hajui.

Hajui JF kuna pisi hiyo macho mlenda akikuangalia unahisi kufa kufa.

Ana kifusi hicho makebo si makebo, magurudumu si magurudumu.

Kakuwekea na shanga kiunoni.

Ukimuambia atabisha😀
We kijana mdogo umejuaje yote haya sasa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom