Hahahaha kwamba hata yale mambo yao ya figure 8 ni ya Artificial intelligence?Ndio, hao ni watoto wa Artificial intelligence. Huwezi kuwaona popote mitaani hivyo inabidi na wewe uzaliwe upya na AI ili muweze kuendana katika hali zenu za imagination
Huyo kwako ndio tafsiri ya pisi kali sio?Vizuri sanaMwanamke wa ndoto zangu ni thick yaani asiwe mnene sana, na awe na nyama za kutosha... Yaani namba 8 figure
Lea wajukuu vyema umrudie muumba wako. Achana na anasa babu chiwawaAge is just a number Mr Raba kali
Filter zile we Jichanganyee🤣🤣🤣🤣
Hapana labda kama unaona hivyoHuyo kwako ndio tafsiri ya pisi kali sio?Vizuri sana
Sasa nikuulize kudogosha wanawake hua inakupa furaha sana?
Sijawahi kuona mwanamke akifungua nyuzi za hivi
Je ni kwamba nyie baadhi ya wanaume mna msongo wa mawazo juu hii gender yetu?
kwan mi nimesema ni nani yako, au mdogo wako hawezi kukuchunaAisee, Mallerina ni mdogo wangu kuweni na heshima wanajukwaa
Dogo bado hujavunja ungoBaada ya kujiunga tiktok nimejikuta nakutana na wanawake kama malaika...
Hii imesababisha mimi kuachana na wanawake wa mitandao mingine maana ni wabovu kupindukia..
Sijui nilikuwa wapi mie..
Wacha Nile vitu vizuri kabisa.
N/B jf hakuna pisi, kuna kausha damu tu wabovu, mama Amina akasome.
Anyways, weekend loading.
Hela zenyewe hana! Mchana nimemuomba vocha ya jero kanishushia gazeti za ukome kausha damu.