Sometimes it happen fanya survey na research kwa Wana ndoa au watu wanaoishia kinyumba utajifunza mengi kijana na una mengi ya kujifunza,unamchokaje mtu wako we ulifikiri itakuwa soft kiasi gani kuishi na mtu jiandaee
Suluhu sio kuachana na wewe kumbe kichwani hamnazo,Maelezo meeengi achaneni bwana
Mkichokana achaneniiiSometimes it happen fanya survey na research kwa Wana ndoa au watu wanaoishia kinyumba utajifunza mengi kijana na una mengi ya kujifunza,
Haya uaneni basi.Suluhu sio kuachana na wewe kumbe kichwani hamnazo,
Kwa kosa lipi?Mwanamme achukuliwe hatua kali!
We mimi ninayo watoto wawili mkuu nimekomaa kiasi cha kuzimudu changamoto mkuu sijakuwa mwili nimekuwa akili ukiona huwezi Bora kuacha ila hakuna rahisi hakuna asie na hasira jifunze kutambua mapema madhara ya mihemko na hasira utaishi na watu vyema ila ukiendekeza.......Sometimes it happen fanya survey na research kwa Wana ndoa au watu wanaoishia kinyumba utajifunza mengi kijana na una mengi ya kujifunza,
Sio rahisi km unavyochukulia suala la kuachana sio hivyo unavyochukulia kiwepesi wepesi it's a process ni mchakato wa muda ingawa pia inawezekana mkiamua ingawa mengi yanayotokea yanazungumzika na watu hubadirika kwa wakati hususani mwanamke hua na hasira kwa siku ya mwanzo Ila kadri siku zikisogea hujutia kwanini alifanya alichofanya kwa mwanamke mwenye akili hujirekebisha ili muishi vizuri km zamani, ushaelewa Ila mwanamke punguani ndio hujifanya na yeye hana tofauti yoyote na mwanaume hapo ndio tatizo linapozidi kua kubwaMkichokana achaneniii
Mpaka wanafikia hatua hiyo jua wamesha pitia mengi hivyo acha ujuaji..........sijui ndo kutofautiana akili au mawazo, ninavyofahamu mimi mtu yeyote anapofikia uamuzi wa kujiua ni kwamba anakua tayari kashaathirika kisaikilojia kwa kiasi kikubwa........hivyo basi hii Ina maana anakuwa out mind anaona hakuna msaada wowotektk maisha yake, amekata tamaa, na hili la kujiua kujiua lina sababu kuu mbili 1.kuzidiwa na matatizo yoyote yale 2.Kurogwa (kwa wanaoamini hili)........
.......Sasa katika hayo utaona kwamba kumbe mtu akipata msaada katika hayo basi atapona katika kifo, kwa hiyo kumbe tunaweza kuokoa vifo vya wanaotaka kujiua kwa kuwazuia kujiua na kuwasaidia ktk shida zao, au kwa kuwakamata na kuwafanyia tiba kama ni maombi au ni uganga(Incase wamerogea).........
...........Sasa kinachonishangaza hapa ni komenti za wadau eti alistahili kufa coz alitaka mwenyewe!!, wengine eti hapo kosa la Jamaa ni korekodi pekee na sio kuruhisu kifo kutokea ktk mazingira aliyopo!!, imenishangaza sana hii!... eti ndio tunajiita great thinkers, kwamba tunaona huyo mama kujiua kwake ilikuwa ni starehe na ameinjoy, eti Jamaa hajakosea....
......nishauri tu kuwa ikitokea umekutana na mtu yupo kwenye hali ya kutaka kujiua tafadhali msaidie kwa namna yeyote, coz kisaikilojia mtu huyo anakuwa sio yeye tena, hata akifa kinakuwa ni kifo cha bahati mbaya kama ajali tu ndo mana watu wanaokolewa, tubadili mindset wakuu...je angekuwa ndugu yako ndo au mama zetu tungeacha wafe kisa wametaka wenyewe?!!!.....
Mkuu nakuambia unachokisema nakielewa na nakitambua ninachokwambia ni kinanihusu pia mwanamke anapenda kuongozwa, niishie hapoWe mimi ninayo watoto wawili mkuu nimekomaa kiasi cha kuzimudu changamoto mkuu sijakuwa mwili nimekuwa akili ukiona huwezi Bora kuacha ila hakuna rahisi hakuna asie na hasira jifunze kutambua mapema madhara ya mihemko na hasira utaishi na watu vyema ila ukiendekeza.......
Video hiyo ilianza pale ambapo mkewe anaonekana akikoroga mchanganyiko wa dawa zenye sumu kwenye kikombe, huku akimwambia mumewe kuwa anataka kujiua na baada ya hapo alikunywa na kutupa kikombe
Suluhisho sio kuuana na wewe kumbe kichwani hazimo,Haya uaneni basi.
Kwaheri
Wameozeshana Ubongo woteHii issue inanipa kila aina ya emotion at the same time
Nikianza na marehem
Ukiangalia ile video inaonyesha yule mwanamke Kanywa then kamtupia likikombe lenyewe mwanaume as if "Mimi nife sasa wewe ulizike" ni wazi walikuwa na ugomvi
Nnachojiuliza
Why she did it in front of her family?
Na huyu mwanaume
Is he mentally ok??
Au alikuwa amemchoka kiasi gani huyo mkewe?
All in all kujiua hii ni shida ya akili ila naona yule mwanaume ndio ubongo umeoza kabisaaa
Akapumzike kwa aman
Umejuaje je kama amemtishia kuwa akimzuia ataenda polisi amtengenezee kesi?Itakiwa kumzuia alafu kumshauri lakini pia kumsikiliza Dunia haipaswi kuwa katili kama unavyowaza watu wangekufa huko ndani ya nyumba sio watoto sio nani
Je kama kuachana huko unako kusema ndo kumempelekea kuchukua uwamuzi wa kujiua?Achaneni bwana.
Kupitia kupitia utafkiri mnapewa tuzo za kupitia
Kwa kosa lipiDj afungwe! Mjadala uishie hapa