Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,937
- 124,031
Yeye hasomi kabila ya kupost?anashindana na nani mpaka asihariri hata baada ya kupostHii unamwonea aliyopost, hizi prediction za keyboard kwenye smartphone zinaleta mengi mno. Hapo alitaka kuandika langu ikamalizia language
Mungu kaamua kuingilia kati[emoji3][emoji23]Yeye hasomi kabila ya kupost?anashindana na nani mpaka asihariri hata baada ya kupost
Aisee hahahaha. .Hadi huyu mke wa professor kaandika huu utumbo
wewe uko ndani ya ndege au treni la kigoma?![]()
Muha alishasema kigoma ni mji ila mwanza ni chibokoo na alivyo fika dar alisema Dar eslam ni ulimwengu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hahaa hahahahaa