Aisee! Facebook kuna vituko

Aisee! Facebook kuna vituko

Hahahaa uwazi kwa umma wa kitanzania wapi na wapi si ataishia kuitwa malaya tu
madada wa Bongomovie, wanavo jitangaza na kuweka wazi na wanaume waliotembea nao, mbona hatuwaiti malaya? na bado soko lao linazidi ku paa tu.
 
Unaishi kijiji gani?mbona wameshashuka hadhi zamaani, soko lao linazidi kupaa kwenda wapi?
madada wa Bongomovie, wanavo jitangaza na kuweka wazi na wanaume waliotembea nao, mbona hatuwaiti malaya? na bado soko lao linazidi ku paa tu.
 
Hahahaa umeichunguza kweli picha
Huyo mtoto aloshika tama wakati hadija anakula ukodac ananipa mawazo mengi! Kuna kitu anaelewa kuhusu bibie au kuhusu Kadara.
 
Sikuizi kiki nikujitafutia mwenyewe...... Kiki za master bei ghali
 
20759479_111117469568503_7330767832851939328_n(1).jpg
 
Back
Top Bottom