Umenikumbusha mikito ya zamani mkuu.Jihadhari utaishiaaa shimo la tewaaaa...
Hii kipozeo ni jina la Ukoo au jina la kimjini mjini ?Umepeleka nakala ya huu mstari kwa Sheikh Kipozeo?
wakuu tuwe makini Ukimwi/ngoma ipo tena imejituliza kimya Kwa warembo, mishangazi Kwa vijana hivyo tufanye Kwa akili Sana.
Nilimsikia anasema walimbandika tu mtaaniHii kipozeo ni jina la Ukoo au jina la kimjini mjini ?
Na yeye kama kiongozi wa dini hana shida. He is just okayNilimsikia anasema walimbandika tu mtaani
Kabisa amejirasimishiaNa yeye kama kiongozi wa dini hana shida. He is just okay
Aise ni noma Mkuu kwahiyo ukinywa dawa tu mzigo unasoma namba 8?Hizo dawa za ukimwi tunazo pewa waafrica zimewekewa virutubisho vyenye kuendana na akili za waafrica navyo ni kumfanya msishana awe na umbo No 8 na matako makubwa nk lengo ni kuakikisha watu weusi tunaoungua duniani ...mtu yoyote anapoanza kutumia hizo dawa asilimoa 90 anabadilika na kuwq na umbo la kifedha
Itakua Mwijaaa anatumia😂😂Aise ni noma Mkuu kwahiyo ukinywa dawa tu mzigo unasoma namba 8?
Polee Mkuu mbona nimezungumzia na vijana Kwa maana ya jinsia zote. Au ulitaka niandike Kwa namna unayotaka wewe. Hakuna ubaguzi Hapo ni kukumbushana tu.Unaongeleaje wadada tuu wakati ulimpeleka rafiki yako mwanaume? Wanaume ma handsome hawakuwepo kwenye foleni?
Mada za kibaguzi hazitakiwi huku jf.