Aise wakuu UKIMWI ni noma

Aise wakuu UKIMWI ni noma

Hakika Mkuu kupima kabla na matumizi ya kinga muhimu.
 
Habari Wakuu.

Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story zilikuwa nyingi ikanibidi nilale. ilipo fika asubuhi nikamsindikiza rafiki yangu zahanati pale msewe. Kumbe siku hiyo ilikuwa ni siku ya watu wenye Ukimwi kuja kuchukua dawa za kufubaza virusi.

Wakuu wadada(wanawake) wanao kuja kuchukua dawa pale ni warembo wamejazia mizigo kuzidi wazima yani ni warembo wanene Kwa wembamba mishangazi kwa vijana ni wazuri sana kama haujui unaweza sema huyu nikimpata napiga bila kinga ni wazuri Sana.

Ukiwaona walivyo warembo Wale wazee wa kunyonya nyuchi watasema nikimpata huyo mtoto nitamnyonya uchi mpaka atetemeke kumbe uchi una Ukimwi.

wakuu tuwe makini Ukimwi/ngoma ipo tena imejituliza kimya Kwa warembo, mishangazi Kwa vijana hivyo tufanye Kwa akili Sana.
Unayosema ni kweli kabisa ni vile siwezi kusema tu sababu ya Ethics za professionalism yangu lakini,

Hivi umewahi kuwaza kua kuna magonjwa hatari sana zaidi ya ngoma?

Yaani ukiupata tu huchukui round unavuta kimchezo mchezo.
 
Unanyonya nyuchi ya mwanamke ili iweje? Ni upumbavu na wanaofanya hivo akili zao zina shida au hawajui madhara. Kama umewahi usirudie tena kama Mimi. Jaribu kunyonya halafu kamle denda uone kama atakubali. Ukimwi upo na unaongezeka kila siku na hautawahi kupungua
Ni kweli Mkuu vijana inatakiwa wakumbushwe wasitangulize hisia mbelembele wataumia. Mwanamke ukimnyonya chini(uchi wake) hawezi kubali hapohapo umpige denda cuz anajua ile si sehemu ya kupelekea mdomo na Kila mwezi inatoa uchafu.
 
Huu ugonjwa ukiutazama kwa jicho la mfumo direct utajiona upo salama, ila ukiutazama kwa network kama jinsi ulivyo ndo utaona utishaji wake.

Mfano huyo mdada mwenye makalio unaweza dhani hakuhusu kumbe unaweza kuta ni mpenzi wa mume wa mtu ambaye mkewe ana mchepuko ambaye anatembea na binti anayetembea na X wa mpenzi wako ambaye huwa wanapasha viporo.
Hakika Mkuu cycle au chain ni kubwa umakini unahitajika.
 
  • Masikitiko
Reactions: Tsh
We mkuuu haijawahi kumwacha mtu salamaaa maombi tu national mizigo asilimia 50 n wanandoa uliza wanavisafirisha kwa ewengine kama yaminelamal mipirayake
Hatari Mkuu ni kuusamba tu.
 
Unapoanza mauhusiano kitu cha kwanza ni kwenda kupima, ila watu wanajisahau wanaanza kwa kutumia kinga. Baada ya siku 3 mnajiona kama mmeshapima. Wenye wapenzi, wenye ndoa hawataki kutulia na mtu mmoja. Sasa ina maana gani ya kuoa au kuwa na mpenzi?
Kama unakuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.

Nyinyi humu hadi mna thread yenu ya kula kimasihara, kama ni kweli mnafanya hivyo hamjipendi. Mtu anayejipenda kwanza anakuwa na kinyaa na kuchukua tahadhari zote. Ukishindwa kabisa kaa mwenyewe.
Mwee tukae wenyewe tupige nyeto sii ndio maana yake?
 
Ukiwaona walivyo warembo Wale wazee wa kunyonya nyuchi watasema nikimpata huyo mtoto nitamnyonya uchi mpaka atetemeke kumbe uchi una Ukimwi.
Mwisho wa kunukuu😄
 
Back
Top Bottom