Aise wakuu UKIMWI ni noma

Aise wakuu UKIMWI ni noma

Kwahiyo umeacha wine umeamia katika Keupe .

Keupe ni hatari hiyo huwa wanakunywa watu walioshindikana ni Kama sigara aina ya Nyota.
Haaahaa 😆 na drink responsible mkuu nakunywa kwa hesabu nakunywa kuchangamka sio kulewa.

Hata niki drink huwezi kujua kama nime drink very responsible siku zoteee ntakua mtiifu na ntakunywa for recreational purpose.

NB. NACHUKIA ULEVI, WALEVI kwa ujumla unakuta mtu anaongea kwa sauti kubwa Sana, msumbifu, mgomvi, mjuaji na kila aina ya vurugu, kuto kujali familia , umalaya , kupuuzia kazi e.t.c
 
Back
Top Bottom