evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,901
Mkuu ni kuomba Mungu unaweza kuta hao wanaotumia ARV wakaishi maisha marefu ya furaha ,amani na upendo kulipo wewe ambaye huna hiv aid na wala hutumi ARV.
Kuna mzee hapa kitaa mke wake alikufa kwa ngoma enzi zile za babu wa kikombe kule loliondo .
Yule mzee yupo hana hata wasi anakwambia yeye anatumia vidonge mwaka juzi kastaafu kazi Tanesco alikuwa injinia wa umeme.
Watu kibao hapa kitaa wamevuta kwa maajali , wengine magonjwa mengine ,ila mzee wa watu yupo .
Maisha ni fumbo cha muhimu ni kuwa makini na kumshirikisha Mungu kwenye kila jambo