Yaan leo ngoja nikufungue ubongo kidogo, kuhusu ukimwi naa virusi vya ukimwi, ukimwi ni ukosefu wa kinga Mwilini hii mtu yoyote anaweza kupata bila hata kua na virusi vya ukimwi na ukifika hii hali km una virusi vya ukimwi ndio unadhoofu zaidi, sasa virusi vya ukimwi pia ni visababishi vya ukosefu wa kinga mwilini sababu vinafanya kazi ya kuua kinga ya mwili
Nije kwenye point, kunaweza kua na manzi ana ukimwi halafu mkawa washikaji wawili mmoja anaweza akamla huyo manzi asipate ukimwi na mwingine anaweza akamla huyo manzi akaondoka nao hapo inategemea sasa amamlamlaje na amemla katika hali na mazingira gani, ushaelewa hapo? Yaan wewe unaweza ukala manzi ana ngwengwe na usipate ngwengwe ila kuna mpuuzi akamla manzi yule yule kitu imoooo