Good Mkuu.Wazee ukiona kabisa ume uza mechi nenda hospital kabla ya masaa 72 sema ukweli kuna dawa uta pewa.
Zingatia iwe ndani ya masaa 72 lakini una meza ck 30 kila ck kidonge kimoja,
Mm ni shahidi iliwahi nitokea kumbuka kuuza mechi sio ujinga ina weza kutokea bila kukusudia.
Uchi hauna Ukimwi Damu ndo Ina ukimwi. Post yako ni mbaya imekaa kiunyanyapaa.Habari Wakuu.
Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story zilikuwa nyingi ikanibidi nilale. ilipo fika asubuhi nikamsindikiza rafiki yangu zahanati pale msewe. Kumbe siku hiyo ilikuwa ni siku ya watu wenye Ukimwi kuja kuchukua dawa za kufubaza virusi.
Wakuu wadada(wanawake) wanao kuja kuchukua dawa pale ni warembo wamejazia mizigo kuzidi wazima yani ni warembo wanene Kwa wembamba mishangazi kwa vijana ni wazuri sana kama haujui unaweza sema huyu nikimpata napiga bila kinga ni wazuri Sana.
Ukiwaona walivyo warembo Wale wazee wa kunyonya nyuchi watasema nikimpata huyo mtoto nitamnyonya uchi mpaka atetemeke kumbe uchi una Ukimwi.
wakuu tuwe makini Ukimwi/ngoma ipo tena imejituliza kimya Kwa warembo, mishangazi Kwa vijana hivyo tufanye Kwa akili Sana.
Twen'zetu CassinoLeta odds 3 nitupie
Hapana😹😹😹Twen'zetu Cassino
Virusi vinaweza patikana kwenye fluids zingine nje ya damu, unaweza pata pia. Kunyonya uchi ni very riskyUchi hauna Ukimwi Damu ndo Ina ukimwi. Post yako ni mbaya imekaa kiunyanyapaa.
Unahitaji ushauri Ili ubadilishe mtazamo wako. Naona ulikuwa unadhani ukimwi unakondesha kama utapiamlo kulee Syria au Somalia au sio..!?
Pia ukimwi haupimwi kwa macho kwa kuangalia Mwili
Hata watoto wa kike wanaozaliwa na HIV wanao tumia dawa toka wadogo, ukichunguza kwa akili utagundua wanakuwa na shepu kabla hata ya kuvunja ungo yani hata wakiwa na miaka chini ya 10 wanakuwa no 8 ...unakuta katoto kana miaka 7 ila ukikatazama kamesha katika shepu no 8Aise ni noma Mkuu kwahiyo ukinywa dawa tu mzigo unasoma namba 8?
Kilometa za Kutosha huko Bonyokwa.Hao wakazi wa mbali ya Ubungo Mswewe.
Wa Msewe wanaenda Kimara au Magomeni Usalama au Mnazimmoja huko wasikojulikana.
Kabisa mkuu tuwe makini, hi ishu kama yako nilishaiona Temeke hospital kuna kipindi nilikuwa na mishe kule sasa nikawa nawahi sana ofisini kutokana na kukwepa foleni .Na hii ndio point yangu Mkuu.
Hawa wapo sana South Africa , kuna kipindi nilikwenda kule kwenye kozi flani tukawa tunasoma kozi na kabinti kazuri kana shepu na kalikuwa na harakati za kuhamasisha kuhusu HIV.Hata watoto wa kike wanaozaliwa na HIV wanao tumia dawa toka wadogo, ukichunguza kwa akili utagundua wanakuwa na shepu kabla hata ya kuvunja ungo yani hata wakiwa na miaka chini ya 10 wanakuwa no 8 ...unakuta katoto kana moaka 7 ila ukikatazama kamesha katika shepu no 8
Mbona hii story haieleweki , nimesoma articles nyingi sana ila ni kama vile dawa bado ila wanaelekea kupata.mwanga wa kutengeneza hiyo dawa , ila dawa kwa kweli badoDawa imeshagunduliwa Marekani, kwahiyo ni mwendo wa kula mbususu tuu
KwaniniUzi mzuri
Kabisa kabisaa yan. Huu upumbavu sijui kwann bado umewakaa watu mpaka leo.Muda mwingine tunapenda kudanganyana sana, UKIMWI siyo tu kwa waafrika, upo nchi zote duniani, ustaarabu na kufuata kanuni ndiko kunatoa utofauti.
Waafrika hawana haja ya kupunguzwa kwa sababu si washindani wa wazungu katika teknolojia au angle ya kisiasa.
Tuacheni uongo wazungu wanasaidia sana kuipa tafu ngozi nyeusi.
Kupata UKIMWI hatulazimishwi bali ni ujinga wetu wenyewe.
Aliyekuambia hizo dawa zinatolewa bure nani??? Kama hujui bas, serikali za africa zinaingia gharama kuubwa sana kwaajili ya hizo madawa. Hakuna cha bure mzee. Hizo pesa za Arv unazilipia mpaka wewe ambaye hujaathirika!! Unalipa mzee usifikiri zinatolewa bure. Tunalipa wooote!!Uwezo wako wa akili ni mdogo nijibu kwanini ukimwi tu ndiyo ugonjwa unaopendelewa sana dunia hadi kuweza kutoa dozi za bure kuliko magonjwa yote unajua kwanini je kwanini wasiweke dozi ya mwezi japo sh10000 unajua sababu na hekima yake ? Kama dawa za kufubaza HIV vingeuzwa hata kwa sh 10000 tu basi ukimwi ungezingatiwa sana tofauti na sasa ...usizani wazungu ni wema sana kutoa dawa bure kuna hekima zaidi ya 3 ovu ndani yake
Kenye Mimi naheshimika sana mkuu.Hii ni KBC radio Taifa imetimia saa tatu kama
Ndege ashikiliwa mpakani mwa Tanzania na Kenya Kwa tuhumu za kulala na mshangazi,
Habari kamili uk, 14
Sahihi!Mikito hii inaishi Sana Mkuu haiwezi kupotea.