Aise wakuu UKIMWI ni noma

Aise wakuu UKIMWI ni noma

Habari Wakuu.

Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story zilikuwa nyingi ikanibidi nilale. ilipo fika asubuhi nikamsindikiza rafiki yangu zahanati pale msewe. Kumbe siku hiyo ilikuwa ni siku ya watu wenye Ukimwi kuja kuchukua dawa za kufubaza virusi.

Wakuu wadada(wanawake) wanao kuja kuchukua dawa pale ni warembo wamejazia mizigo kuzidi wazima yani ni warembo wanene Kwa wembamba mishangazi kwa vijana ni wazuri sana kama haujui unaweza sema huyu nikimpata napiga bila kinga ni wazuri Sana.

Ukiwaona walivyo warembo Wale wazee wa kunyonya nyuchi watasema nikimpata huyo mtoto nitamnyonya uchi mpaka atetemeke kumbe uchi una Ukimwi.

wakuu tuwe makini Ukimwi/ngoma ipo tena imejituliza kimya Kwa warembo, mishangazi Kwa vijana hivyo tufanya Kwa akili Sana.
Unanyonya nyuchi ya mwanamke ili iweje? Ni upumbavu na wanaofanya hivo akili zao zina shida au hawajui madhara. Kama umewahi usirudie tena kama Mimi. Jaribu kunyonya halafu kamle denda uone kama atakubali. Ukimwi upo na unaongezeka kila siku na hautawahi kupungua
 
Huu ugonjwa ukiutazama kwa jicho la mfumo direct utajiona upo salama, ila ukiutazama kwa network kama jinsi ulivyo ndo utaona utishaji wake.

Mfano huyo mdada mwenye makalio unaweza dhani hakuhusu kumbe unaweza kuta ni mpenzi wa mume wa mtu ambaye mkewe ana mchepuko ambaye anatembea na binti anayetembea na X wa mpenzi wako ambaye huwa wanapasha viporo.
 
Habari Wakuu.

Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story zilikuwa nyingi ikanibidi nilale. ilipo fika asubuhi nikamsindikiza rafiki yangu zahanati pale msewe. Kumbe siku hiyo ilikuwa ni siku ya watu wenye Ukimwi kuja kuchukua dawa za kufubaza virusi.

Wakuu wadada(wanawake) wanao kuja kuchukua dawa pale ni warembo wamejazia mizigo kuzidi wazima yani ni warembo wanene Kwa wembamba mishangazi kwa vijana ni wazuri sana kama haujui unaweza sema huyu nikimpata napiga bila kinga ni wazuri Sana.

Ukiwaona walivyo warembo Wale wazee wa kunyonya nyuchi watasema nikimpata huyo mtoto nitamnyonya uchi mpaka atetemeke kumbe uchi una Ukimwi.

wakuu tuwe makini Ukimwi/ngoma ipo tena imejituliza kimya Kwa warembo, mishangazi Kwa vijana hivyo tufanya Kwa akili Sana.
We mkuuu haijawahi kumwacha mtu salamaaa maombi tu national mizigo asilimia 50 n wanandoa uliza wanavisafirisha kwa ewengine kama yaminelamal mipirayake
 
Huu ugonjwa ukiutazama kwa jicho la mfumo direct utajiona upo salama, ila ukiutazama kwa network kama jinsi ulivyo ndo utaona utishaji wake.

Mfano huyo mdada mwenye makalio unawedha dhani hakuhusu kumbe unaweza kuta ni mpenzi wa mume wa mtu ambaye mkewe ana mchepuko ambaye anatembea na binti anayetembea na X wa mpenzi wako ambaye huwa wanapasha viporo.
Aisee🤔
 
Habari Wakuu.

Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story zilikuwa nyingi ikanibidi nilale. ilipo fika asubuhi nikamsindikiza rafiki yangu zahanati pale msewe. Kumbe siku hiyo ilikuwa ni siku ya watu wenye Ukimwi kuja kuchukua dawa za kufubaza virusi.

Wakuu wadada(wanawake) wanao kuja kuchukua dawa pale ni warembo wamejazia mizigo kuzidi wazima yani ni warembo wanene Kwa wembamba mishangazi kwa vijana ni wazuri sana kama haujui unaweza sema huyu nikimpata napiga bila kinga ni wazuri Sana.

Ukiwaona walivyo warembo Wale wazee wa kunyonya nyuchi watasema nikimpata huyo mtoto nitamnyonya uchi mpaka atetemeke kumbe uchi una Ukimwi.

wakuu tuwe makini Ukimwi/ngoma ipo tena imejituliza kimya Kwa warembo, mishangazi Kwa vijana hivyo tufanya Kwa akili Sana.
Acha uoga mkuu ngoma sio issue siku hizi...watu wanaushi nayo kisela
 
Back
Top Bottom