Aise wakuu UKIMWI ni noma

Aise wakuu UKIMWI ni noma

Unapoanza mauhusiano kitu cha kwanza ni kwenda kupima, ila watu wanajisahau wanaanza kwa kutumia kinga. Baada ya siku 3 mnajiona kama mmeshapima. Wenye wapenzi, wenye ndoa hawataki kutulia na mtu mmoja. Sasa ina maana gani ya kuoa au kuwa na mpenzi?
Kama unakuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.

Nyinyi humu hadi mna thread yenu ya kula kimasihara, kama ni kweli mnafanya hivyo hamjipendi. Mtu anayejipenda kwanza anakuwa na kinyaa na kuchukua tahadhari zote. Ukishindwa kabisa kaa mwenyewe.
Good Mkuu Very Good.
 
😁 Bahati yako Mkuu macho sometimes yanadanganya Sana .
Oyaah Kuna dada mmoja tumesoma nae since primary nasikia ni HIV positive, na ikawa kweli ukimwona ni mzurii kiasi chake, anavutia sasa kama hujui umekwisha
 
Si tunaambiwa hao wanaotumia dose kwa usahihi uwezo wa kuambukiza ni kwa taabu sana!
Inawezekana Mkuu. mtafute mmoja mwenye ngoma ujaribu tuone Kama nikweli tunaweza tukawa tunajibana kumbe easy tu kama wasemavyo.
 
Oyaah Kuna dada mmoja tumesoma nae since primary nasikia ni HIV positive, na ikawa kweli ukimwona ni mzurii kiasi chake, anavutia sasa kama hujui umekwisha
Aise Hapo lazima vijana wengi watakuwa wamesha jiunga kwenye dozi.
 
Hamna lolote, niliacha kuogopa ukimwi 2018 baada ya jamaa yangu kupona huo ugonjwa, dawa aliyotumia ndiyo na mm natumia nikipita sehemu mbaya, ni zaidi ya mara tano. Na kwa taarifa yako kwasabu huu ugonjwa upo kimkakati mods watafuta hii comment.
Tujuze hiyo dawa Mkuu ambayo wengine hawaijui.
 
Huku jukwaani kuna watu wanadai hakuna kitu kama ngoma ni project za Kimarekani kupiga watu pesa. Naamini una majibu mazuri kwao.
Wanaweza wakawa wanaona wanajua kumbe hawajui Kama hawajui.
 
Back
Top Bottom