Airtel na imebadilisha jina tena kuwa spanco?

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Tulifiwa na ndugu yetu aliyekuwa anafanya kazi Airtel,na walipokuja wafanyakazi
wenzake marehemu tukashangaa wanajiita toka kampuni ya Spanco.Je tayari ni
mwendelezo ule ule wa kubadilisha jina kila baada ya miaka mitano halafu Rais
anaenda kuzindua? Mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Very likely Airtel watakuwa wame outsource kazi fulani kwa hao Spanco. So inaweza kuwa kweli alikuwa anafanya kazi za Airtel lakini sio muajiriwa wa Airtel.
 
Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel.. So airtel ni kampuni inayofanya kazi na kampuni nyingi as subcontractors... Mfano network wanafanya NSN, Logistics wanafanya SDV, customer care wanafanya Spanco, IT wanafanya infotech kama sikosei.. Na mengineyo Airtel kama airtel wamebaki kwenye management, sales etc
 
hawa airtell hawajiamini kabisa sijui wanakuwa wanawaza nini ? ni mara nyingi hii kampuni imebadirisha jina lake!! na inavyo onekana anayemiliki kampuni hii akawa MSHIRIKINA MKUBWA SANA na huenda ikawa wazo la mganga wake !!!
 
Spanco ni kampuni nyingine kabisa....inaajiri na kusimamia Customer Care tu, most likely huyo nduguyo alikuwa mwajiriwa huko.
 
Kuropoka si level ya JF, mmeshajibiwa hapo juu ni maswala ya outsource, sawa na Vodaphone UK Customer care yao iko India wao ndio wameamuwa ku outsource kwa Wahindi kwa sababu Wahindi ni cheap.

Au labda wenzetu huko mitaani kwenu kufanya kazi airtel ndio ujiko? huu nao ni ujinga mbadala.
 
Ujinga ni mtanzania anayefanywa mjinga na wawekezaji wababaishaji wanaobadili majina kila baada ya muda.Na anawatetea.Time will tell"
 
Spanco mbona hata hapa kwetu Tigo wapo,
Ndugu yako tu alikua hataki kukiri yuko kwa wahindi yeye alitaka ujiko wa Jahazi la kioo hapo morocco!
 
Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel.. So airtel ni kampuni inayofanya kazi na kampuni nyingi as subcontractors... Mfano network wanafanya NSN, Logistics wanafanya SDV, customer care wanafanya Spanco, IT wanafanya infotech kama sikosei.. Na mengineyo Airtel kama airtel wamebaki kwenye management, sales etc
Senki yuu mukubwa!!umenikata kiu barabara,kifupi nimekuelewa na sina haja ya kuendelea kukodoa mimacho humu.
 
Kwa Tanzania ni kawaida!! Ukishavuna shamba la bibi unauza kama ambavy Barrick Gold wameuza baada ya kuona vyama vya upinzani vimesimamia kidedea masuala ya mapato ya madini na kupitia upya mikataba inakula sehemu kubwa ya Wizi wao. Now Chinese are here, kuendeleza kula kwa style nyingine!!
 
Hakuna nchi yeyote duniani inaibiwa kama Tanzania. Hakuna mahali unaweza piga simu kwa garama kubwa kama Tanzania. Kwa nini? Shamba la babu. Wanajivunia wanavyota. Babu mzee yuko anafurahia utoto wake majuu kila siku bila kujali adha ya maisha hasa vijana wanaoendeleza ujambazi mitaani kwa kukosa elimu na kazi.
Hao wajanja wanajua fika kila baada ya muda fulani utaanza kulipa kodi sasa iliyopo ni kubadili tu majina na kuifanya kampuni kama ndiyo kwanza inaanza. Acha wavune tu kwani imebaki tu miaka miwili tutajikomboa kwa kuondokana na hawa wazee wa matoroli. Ipo siku wanaovuna nchi yetu watakuwa acountable. Give it time.
 
Thread ya kibiashara zaidi
Comment za kisiasa zaidi
Hongereni wale waliotuelimisha
Amkeni ambao mnaponda kila kitu
 
Back
Top Bottom