Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,280
- 1,763
Spanco ni kampuni nyingine kabisa....inaajiri na kusimamia Customer Care tu, most likely huyo nduguyo alikuwa mwajiriwa huko.
Jibu swadakta.. Thanks jombaa
Spanco ni kampuni nyingine kabisa....inaajiri na kusimamia Customer Care tu, most likely huyo nduguyo alikuwa mwajiriwa huko.
hawa airtell hawajiamini kabisa sijui wanakuwa wanawaza nini ? ni mara nyingi hii kampuni imebadirisha jina lake!! na inavyo onekana anayemiliki kampuni hii akawa MSHIRIKINA MKUBWA SANA na huenda ikawa wazo la mganga wake !!!
Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel.. So airtel ni kampuni inayofanya kazi na kampuni nyingi as subcontractors... Mfano network wanafanya NSN, Logistics wanafanya SDV, customer care wanafanya Spanco, IT wanafanya infotech kama sikosei.. Na mengineyo Airtel kama airtel wamebaki kwenye management, sales etc
Spanco mbona hata hapa kwetu Tigo wapo,
Ndugu yako tu alikua hataki kukiri yuko kwa wahindi yeye alitaka ujiko wa Jahazi la kioo hapo morocco!
Tulifiwa na ndugu yetu aliyekuwa anafanya kazi Airtel,na walipokuja wafanyakazi
wenzake marehemu tukashangaa wanajiita toka kampuni ya Spanco.Je tayari ni
mwendelezo ule ule wa kubadilisha jina kila baada ya miaka mitano halafu Rais
anaenda kuzindua? Mwenye taarifa zaidi atujuze.

celtel, zain, airtel, spanco.............
Nina uhakika alikuwa anfanya kazi Airtel na ofisi yake ilikuwa ndani ya jengo hilo linalokubabaisha wewe la kioo
Morocco.Any way haya mkuu.
Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel.. So airtel ni kampuni inayofanya kazi na kampuni nyingi as subcontractors... Mfano network wanafanya NSN, Logistics wanafanya SDV, customer care wanafanya Spanco, IT wanafanya infotech kama sikosei.. Na mengineyo Airtel kama airtel wamebaki kwenye management, sales etc
Ujinga huu, kujuwa kwingi mbele kiza.kuchamba kwingi ni lazima utoke na kinyesi. sasa hapo ni kipi ulichomsahihisha wewe?Nadhani ulimaanisha kwamba Customer Care Airtel wamekuwa outsourced?
Ujinga huu, kujuwa kwingi mbele kiza.kuchamba kwingi ni lazima utoke na kinyesi. sasa hapo ni kipi ulichomsahihisha wewe?
Ni branding tu lakini legally bado wanajulikana kama Celtel Tanzania Ltd
Mimi ninacho jua nikwamba kuna kampuni inayoendesha shuguli za customer care siyo wafanyakazi wa airtelTulifiwa na ndugu yetu aliyekuwa anafanya kazi Airtel,na walipokuja wafanyakazi
wenzake marehemu tukashangaa wanajiita toka kampuni ya Spanco.Je tayari ni
mwendelezo ule ule wa kubadilisha jina kila baada ya miaka mitano halafu Rais
anaenda kuzindua? Mwenye taarifa zaidi atujuze.
hiyo inaitwa outsourcing
Airtel wameoutsource customercare department kwa kampuni ya Spanco
na Tigo nao wameoutsource customercare kwa kampuni hiyohiyo ya Spanco
so airtel cc inaitwa SpancoAirtel
while tigo cc inaitwa Spanco tigo
hao Spanco ni wahindi directly from India haya sasa nahisi wahindi unawajua japo kidogo
Spenco si ni bwawa la mavi pale buguruni??
Mkuu nafikiri this is something you are trying to dream as a very big thing which is notDon't Jump on the band wagon,chilax Hommie,hivi hauoni kama hizo sentensi zipo tofauti?
"Spanco wamekuwa outsourced ku manage customer care ya airtel."
"Nadhani ulimaanisha kwamba Customer Care Airtel wamekuwa outsourced"
kijana JB WISER Customer care ndio imekuwa outsourced that means Airtel wameuza Customer care kwa spanco na sio Spanco ndio imekuwa outsourced