MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,861
- 6,221
Sasa hivi kampuni nyingi zinafanya outsorcing ya wafanyakazi. Mimi naona hii ni njia ya kuwanyima haki wafanyakazi kwa kutowajibika kuhusu leave, medical, retirement nk. Pia hii mbinu inasababisha mishahara kupungua na kufanya wepesi kumwachisha mtu kazi bila sababu za msingi. Sijui vyama vya wafanyakazi zinasemaje kuusu hii issue ya outsourcing.
Kaka outsourcing haiepukiki kwa dunia ya sasa as kampuni nyingi zinatumia hii technique kupunguza cost na wao wanabaki na wafanyakazi wanaodeal na major business of the company,,, na hata mashirika yetu kama tanesco ili yafanye kazi kwa ufanisi inabidi wayavunje vunje kwa ku outsource other service zifanywe na kampuni nyingine as wao wa concentrate kwenye major business.. Vitu kama IT, Logistics etc una outsource kwa kampuni zilizo specialise kwenye hizo shughuli like oracle, Ibm, kwa tanzania infotech, raha na wengineo,, as ni ngumu kuajiri wafanyakazi wote mwenyewe na kuwapa training kwenye standard inayotakiwa, so ni bora kumpa tenda mtu aliye base kwenye hizo shughuli wakati na wewe unaendelea na shughuli ulizospecialize tu,,
Mdogo wangu tembea uione dunia nazan ndo utaelewa vizuri,, siku hizi huko dunian kampuni zinaendeshwa kwa hii sytle ya ku outsource na ndo maana zinafanikiwa sana na zinakuwa, na kuanzia miaka 5 ijayo sitashangaa nikiona tanesco, nssf, tpa, etc zikianza kuvunjwa vunjwa nazo baadhi ya departments na ku outsource kwa proffessional companies walio specialize kwenye hizo shughuli like IT, LOgistics, Customer care etc wawafanyie kazi