Airtel Money leo mmeyumba

Airtel Money leo mmeyumba

Yani hata huku Dom ni changamoto. Nilitaka kujiunga na kifurushi asubuhi ila masweke niliyokutana hayo sina hamu. Mida hii ndiyo nimepata huu ujumbe huu

Airtel apologizes for inconvinences caused due to technical issues in buying bundles. Our services are now back online. You can now buy your favorite pack.
Pole mkuu ndio airtel yetu hii
 
Wapumbavu sana hawa airtel leo wamenifanya nishinde njaa kwenye bus nimefika singida natoa hela ninunue msosi wajinga hawajarudisha msg kwa wakala wala kwangu . Imenibidi nifunge bila kupenda.
mkuu pole sana
 
Mimi nimepiga kazi, najua jana nitumiwe pesa yangu, naamka saa 11 naambiwa kwamba pesa inatumwa bila mafanikio. Najaribu kujiunga holaa!! Najaribu kutoa pesa holaa!! Mpaka sasa sijapata malipo yangu na nilitegemea nijipongeze leo, sasa inanibidi nitumie pesa yangu nikisubiri mtandao ukae sawa.
Pole mkuu
 
Usishangae ukawa na pesa kwenye account yako ya simu ukataka kufanya muamala wowote ukaambiwa salio lako halitoshi, ukiangalia unaliona lipo...
Huo.ndio ujinga ulionitokea leo sim ina hela ila.siwezi kutransact
 
Back
Top Bottom