EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
- Thread starter
- #41
Unatukashfu sana sisi wana gunners, ajabu sasa natumia Airtel na ni mwana asenali. Leo nimeshindwa kufanya Jambo langu coz hela ilikuwepo Airtel money, nimetoa kitu hakileti msg wala nini. Jpili iliyopita nilikuwa safari, yule dada asingekuwa mstaarabu hela yangu angenidhulumu. Nawapa mda wa kuirekebisha....futseke zao!!Airtel na Arsenal tofauti ni jezi tu ila watumiaji wao wanafurahia siku 1 wananuna wiki nzima😅😅😅
Hao ndiyo kichomi balaa, halo pesa, ukiweka na kutoa hawarudishi sms, labda uangalie taarifa fupi kupata muongozo wa miamala mitano ya mwisho.Bora hata Halotel
yani mm nmemtumia mtu hela nahisi itakua imeenda mara3 na mpaka mda huu sijapata mrejesho na salio halipo ukipiga simu inakataAirtel money wamenitia hasara hawa washenzi nilikuwa najiunga kifurushi kinagoma, nikajiunga mara tatu huku wasema service unavailable baadae wameniunga mara zote tatu. Shame to you Airtel
hawa washtakiwe ni washenzi mnoMimi wamenitia kwenye matatizo mazito Sana,wamenisababishia nihamishwe tarrif na tanesco bila kupenda,Jana nilinunua umeme wa 4000 ili kukamilisha unit zangu za rea,wakaniambia muamala umeshindikana nikanunua mara ya pili na ya tatu kutahamaki nikalala giza na kuletewa umeme wa 12000 alfajir,ambao automatical nimeingizwa kwenye kundi la watumiaji wakubwa wa umeme
Itakuwa imeenda mara tatu hyo maana hapo baada ya mda watakuletea message tatu na mkato juuyani mm nmemtumia mtu hela nahisi itakua imeenda mara3 na mpaka mda huu sijapata mrejesho na salio halipo ukipiga simu inakata hawa washtakiwe ni washenzi mno
Nenda tu, Mimi Sasa hivi situmi Hela kwa Airtel au kulipia malipo yoyote staki shidaYaani leo nlijipanga nishinde zangu home inabidi niende mjini kuwatafuta.
Wakati pesa ni yangu
Yaani ni.shida sanaHata miye siku ya leo nimepata usumbufu mkubwa sn
Mimi wamenitia kwenye matatizo mazito Sana,wamenisababishia nihamishwe tarrif na tanesco bila kupenda,Jana nilinunua umeme wa 4000 ili kukamilisha unit zangu za rea,wakaniambia muamala umeshindikana nikanunua mara ya pili na ya tatu kutahamaki nikalala giza na kuletewa umeme wa 12000 alfajir,ambao automatical nimeingizwa kwenye kundi la watumiaji wakubwa wa umeme






Unatukashfu sana sisi wana gunners, ajabu sasa natumia Airtel na ni mwana asenali. Leo nimeshindwa kufanya Jambo langu coz hela ilikuwepo Airtel money, nimetoa kitu hakileti msg wala nini. Jpili iliyopita nilikuwa safari, yule dada asingekuwa mstaarabu hela yangu angenidhulumu. Nawapa mda wa kuirekebisha....futseke zao!!





jamaa hadi leo upo Arsenal.yani mm nmemtumia mtu hela nahisi itakua imeenda mara3 na mpaka mda huu sijapata mrejesho na salio halipo ukipiga simu inakata hawa washtakiwe ni washenzi mno


acha afaidiItakuwa imeenda mara tatu hyo maana hapo baada ya mda watakuletea message tatu na mkato juu



Sasa sikuwa na hela ikabidi nikatoe kidogo ndio yakanikutaNenda tu, Mimi Sasa hivi situmi Hela kwa Airtel au kulipia malipo yoyote staki shida
jamaa hadi leo upo Arsenal.
Mond kahama KABILA we unakwama wapi?



hawa jamaa wanatudhulumu sana, ajabu sasa vitambi vinazidi kuota tu!hawa jamaa wanatudhulumu sana, ajabu sasa vitambi vinazidi kuota tu!




nyie jamaa mna moyo saaana aisee.Tafta tu pengine Airtel sikuhizi ni jipuSasa sikuwa na hela ikabidi nikatoe kidogo ndio yakanikuta
Halafu ni tetesi tu,nyie jamaa mna moyo saaana aisee.
Arteta anawaweza


wakati wenzake wako busy kusajili arsenal wao ni tetesi tu. Yani litimu limekuwa kama ruvu shooting. Arsenal siwezi kuhama, Ila Airtel nawavutia kasi!