Airtel Money leo mmeyumba

Airtel Money leo mmeyumba

Wapumbavu sana hawa airtel leo wamenifanya nishinde njaa kwenye bus nimefika singida natoa hela ninunue msosi wajinga hawajarudisha msg kwa wakala wala kwangu . Imenibidi nifunge bila kupenda.
Wakat ushafika dar, ghafla unaona meseji kuwa ile hela imefanikiwa kutoka kwa huyo wakala wa huko singida
 
Airtel haifai kwa malipo ya serikali au ada unakula hasara Moja matata Mimi baada ya kuambiwa hivo nilibatilisha malipo yangu haraka Sana wakanirudishia Hela yangu.
Pole dada
 
Back
Top Bottom