Airtel Money leo mmeyumba

Airtel Money leo mmeyumba

Airtel money wamenitia hasara hawa washenzi nilikuwa najiunga kifurushi kinagoma, nikajiunga mara tatu huku wasema service unavailable baadae wameniunga mara zote tatu. Shame to you Airtel
haya tusumbue mitandaoni maana una ma GB ya kutosha
 
Ikabidi nianze kuwapigia wadau wenzangu wanao tumia Airtel kujua hali ikoje huko kwao.

Mimo kwangu kujiunga ni shida,kuangalia salio kadhalika.

Nimerudi tigo kwa muda,mpaka pale hali itakapo kuwa shwari.
 
Hivi nikimrudia wakala si ataona kama mzigo umeingia hata kama hajaona meseji??
 
Ikabidi nianze kuwapigia wadau wenzangu wanao tumia Airtel kujua hali ikoje huko kwao.

Mimo kwangu kujiunga ni shida,kuangalia salio kadhalika.

Nimerudi tigo kwa muda,mpaka pale hali itakapo kuwa shwari.
Sa si watoe taarifa???
 
Kuna msemo ' pesa yako ni ile iliyopo mikononi mwako,ile iliyopo bank,mitandao ya simu,n.k inaweza muda wowote isiwe ya kwako.....ndio maana wenzetu wa Asia hupenda kutunza hela zao kwenye viroba'
 
Kweli mkuu ngoja nipambane
 
haya tusumbue mitandaoni maana una ma GB ya kutosha
Yani ni kero Kuna siku nililipia malipo ya serikali nilijuta aisee, ikabidi niwapigie huduma kwa mteja kama lisaando nikawapata nikaambia wanirudishie muamala, ila muamala ulirudi baada ya siku mbili
 
Yaani leo nlijipanga nishinde zangu home inabidi niende mjini kuwatafuta.

Wakati pesa ni yangu
 
Back
Top Bottom