wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,460
- 2,072
Hawa Airtel bado hawapo serious na biashara.
Leo nimecheka sana kwa majibu niliyopewa na dada wa huduma kwa wateja.
Ilikua hivi juzi jumamosi kabla ya game ya Liver na City nilinunua kifurushi cha 3000 kwa Airtel Money, wakakata pesa na kifurushi sijapewa ikabidi niwaendee hewani wakasema kuna matatizo ya kiufundi kidogo nikaona sio tabu ikabidi ninunue kifurushi Voda ili nicheki game siku ikaisha.
Sasa imefika jana jumapili ikawa bado sijapewa kifurushi changu ikabidi niwaendee hewani tena ndipo nikakutana na majibu ya kuchekesha. Customer care wanasema kitengo kinachohusika hakifanyi kazi sababu ya sikukuu so hawapo kazini toka ijumaa kuu, jumamosi, jumapili na hawatokuepo kazini hadi siku ya jumanne sikukuu zitakapokuwa zimeisha. Ikabidi niishie kucheka tu na kukata simu.
Sasa kwa kampuni kama airtel ni wa kufanya upuuzi kama huu??? Je ni subscribers wangapi tuliopata shida kama hii??? Wanapoteza hela kufanya marketing ya huduma zao na wakati huduma zenyewe mbovu. Mimi wamenifanya nirudi Vodacom maana sikutumia muda mrefu na baada ya kujiunga jana nimeona kumbe walikua wananipiga tu maana kwa gharama niliyokuwa natumia kule walikua wananipa Data peke yake wakati kwa gharama ile ile huku Voda napata Data, SMS na Dakika. Na kwa upande wa internet inajulikana Voda hana mpinzani.
Waboreshe huduma zao kama wanataka wateja wa kudumu.