Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,032
- 132,786
Mkuu Chipukizi, hakuna anaelaumu ATCL kwa engine failure kwa sababu bado hatujua the cause ni manufacturer defects or user wear and tear. Ndege hizi ni za long haul minimum optimum performance ni 3 hours flights to six hours, Tanzania tunapaa na kushuka just 1 hour!, tunachosha engines.Ukisoma hii habari. Inaonekana hizi egines za P&W Zina matatizo na sio ATC pekee. Sijui kwa nini watu Wana laumu as if ni Ndege za ATC tu ndo zenye engine failer
Binafsi naona hii ni fake news kutaka kuhari bujina la air Tanzania. Ni vema kupata uhakika toka kwa abiria au wafanyakazi. Je walio uwanja wa Mwanza wana iona imepaki ndege hii?Ukisoma hii habari. Inaonekana hizi egines za P&W Zina matatizo na sio ATC pekee. Sijui kwa nini watu Wana laumu as if ni Ndege za ATC tu ndo zenye engine failer
Hitaji la uwanja mkubwa wa ndege Dodoma na Singida linaonekana wazi... tujitathminiWakuu,
Ile Ndege yetu aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa imeshikiliwa Afrika kusini katika uwanja wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, jana imeendelea kupatwa na Majanga baada ya kidaiwa kwamba injini yake kupata matatizo wakati ikiwa angani ikitea Mwanza kwenda Dar.
Imedaiwa rubani wa ndege hiyo aliamua kuirudisha Mwanza na kutua salama japo Injini itahitajika kubadilishwa ili iweze kupaa. Alikuwa kapaa angani urefu wa futi 7,500.
Matatizo kwenye ndege ni jambo la kawaida, tatizo ni kwanini Tunafichwa habari? Kwa usiri huu napata wasiwasi kama ATCL inafanya kazi kwa viwango vya kimataifa. Wasafiri walitakiwa waambiwe tatizo na kuombwa msamaha.
Nashauri tuiuze na hela tuwanununulie Bima ya Afya wajane na wote wasiojiweza Tanzania
Angalia mchoro hapa chini ya U turn ya nguvu akiwa Singida njiani kwenda Dar akaamua kirudi Mwanza. Rubani apewe tuzo au cheo Serikalini. Kaokoa roho za watu..
Air Tanzania’s flight TC 123 from Mwanza to Dar es Salaam yesterday suffered an engine failure not long after taking off from the lakeside city.
The aircraft had reached an altitude of just over 7.500 feet when the engine failed and the pilots decided to immediately return to their airport of origin as the nearest point of landing.
The aircraft landed safely but will have to remain on the ground for an engine change.
Meanwhile does this seem to be another case of an Airbus A220 engine failing, which prompted the FAA earlier this month to issue an Air Worthiness Directive about several similar engine failures of the Pratt and Whitney Geared Turbofan engine, which affected Air Baltic but also other airlines operating this aircraft type.
The FAA notice, which was published on September 10th, i.e just over two weeks ago, proposes the inspections of the PW1500Gs and PW1900G. It also requires that the gap between the oil supply of the engine and the fuel oil cooler must to be inspected on a more regular basis. Operators of this engine type are already exchaning the fuel oil cooler and the supply tube for new components to comply with Pratt & Whitney’s own service guidance.
The issue came to light earlier this year when P&W addressed it with its service bulletins.
Meanwhile has Swiss recently also suffered two engine failures in flight, raising additional questions about the PW engines used, more so as Airbus had similar experiences when the A320NEO family was launched, using this engine type.
These engine failures have in the past also affected Korean Air and other operators, raising serious questions about P&W’s workmanship, component reliability and generally the safety of this engine type.
Air Tanzania has two Airbus A220-300 in service and only recently ordered an additional two such aircraft for delivery in 2021.
Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure
AIRBUS A223’S ENGINE FAILURE PROMPTS RETURN OF FLIGHT TC123 TO MWANZA (Posted 27th September 2019) Air Tanzania’s flight TC 123 from Mwanza to Dar es Salaam yesterday suffered an engine…atcnews.org
Mfano? Mara zote ndege ikipata shida huwa inatangazwa siyo kama basi likizima konda anakwenda chini kucheck.Kuharibika kwa ndege ni kawaida. Niwasifu marubani kuamua vyema kuirudisha ndege uwanjani vinginevyo
uliingizwa chaka unajua. hata ndege hiyo imekujaje kujaje au imepatikanaje...wakati toka uzaliwa hujawahi kulipa hata senti ya kodi serikalini
Siyo Ndege ya Tanzania imekuwa ya kwanza kukutwa na tatizo kama hiloHuo mtumba tuliingizwa Chakaa
Shemeji .... your inquisites sound professional as of nowMkuu Chipukizi, hakuna anaelaumu ATCL kwa engine failure kwa sababu bado hatujua the cause ni manufacturer defects or user wear and tear. Ndege hizi ni za long haul minimum optimum performance ni 3 hours flights to six hours, Tanzania tunapaa na kushuka just 1 hour!, tunachosha engines.
Kama tatizo ni manufacturer defects, manufacturers ndio anapaswa kubeba gharama za matengenezo as performance security guarantee, lakini tumezinunua kwa cash, hivyo chochote kikitokea ni inakula kwetu, swali la kujiuliza ni kwa nini tulinunua kwa cash kitu ambacho hatuna uhakika nacho?, tulikuwa na haraka gani to take such a high risk?.
P
Kuharibika kwa ndege ni kawaida. Niwasifu marubani kuamua vyema kuirudisha ndege uwanjani vinginevyo
Tuache kurushiana maneno yasiyo na tija hapa, tuelekeze nguvu na akili zetu katika kumshukuru Mungu failure ya engine haikusababisha maafa, pengine tutoe ushauri wa nini kifanyike badala ya kukejeli as if ATCL haituhusu, ndege ni zetu sote, zinapotokea changamoto sote tuguswe sawia, kejeli, vijembe na kukatishana tamaa hakutuweki pamoja.
Kwa hyo mkuu unataka kutuaminisha ukinunua kitu kwa cash u anaondolewa Warrant. Acha kupotosha mkuuMkuu Chipukizi, hakuna anaelaumu ATCL kwa engine failure kwa sababu bado hatujua the cause ni manufacturer defects or user wear and tear. Ndege hizi ni za long haul minimum optimum performance ni 3 hours flights to six hours, Tanzania tunapaa na kushuka just 1 hour!, tunachosha engines.
Kama tatizo ni manufacturer defects, manufacturers ndio anapaswa kubeba gharama za matengenezo as performance security guarantee, lakini tumezinunua kwa cash, hivyo chochote kikitokea ni inakula kwetu, swali la kujiuliza ni kwa nini tulinunua kwa cash kitu ambacho hatuna uhakika nacho?, tulikuwa na haraka gani to take such a high risk?.
P
Kuwa mfatiliaji ndugu usiropoke wenzetu wapo Makini na weledi press lazima hiyo NI class business sio biashara ya matundaSijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Hivi mwanza kuna garage pale?[emoji849]
Ikishachukua mkondo wake ndiyo uchumi wetu utapanda kwa 6%?Wiki naona ni ya hasira kwa BAVICHA baada ya kusikia Mwenyekiti wao anaomba huruma kesi Akwilina maana imekaa vibaya kwake ikithibitika sheria ichukue Mkono wake