dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,475
- 2,078
Huoni Aibu kuongea Pumba hizi?Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?