Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,457
- 2,191
Utapanda kwa 8%Ikishachukua mkondo wake ndiyo uchumi wetu utapanda kwa 6%?
Utapanda kwa 8%Ikishachukua mkondo wake ndiyo uchumi wetu utapanda kwa 6%?
Hapo ndio unapoona ujinga wa kununua haya mavitu completely cash. Hire purchase inasaidia kupata nafasi ya kumbana manufacturer uwajibikaji maana bado unahela yake tofauti na huu ununuzi kama unanunua suti au gunia LA mahindi.Hizi ndege, mh!!!!!
Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!
Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Kwani investment kwenye hivyo vitu ulivyotaja hauzioni?Hatuombei mabaya lakini hii hela ya kununua hilo lindege ingeinvest kwa Afya, maji, Elimu nk
Sio mtumba kaka! Ni laana ya kiaina tunayo. Ili mambo yakunyooke mtu mwenye laana ni lazima uivunjevunje hiyo laana kwanzaHuo mtumba tuliingizwa Chakaa
Hapo itachunguzwa na walioiunda ionekane nini tatizo siyo jukumu letu vifaa vikubwa kama hivyo vinasimamiwa na walioviunda Kwa ukaribu Kwa sababu nao wangependa kujua nn tatizo la ndege zaoWe nawe ni mpuuzi. Wataalam wanashangaa kwa nini engine hizo zimekuwa zikifail, wewe usiye na ujuzi unasema ni kawaida.
Kiuhalisia ndege haistahili kuharibika ikiwa inafanya kazi. Kila part ina muda wake wa replacement, kabla ya muda ambao hiyo part inaweza kupata failure. Kwa hiyo kimsingi ndege haistahili kuharibika na wala replacement ya parts huwa haisubiri part ipate failure.
Kulikuwa na haja ya kumtukana? Hapo sasa unadhani sisi tunamuona nani Mpumbavu kama sio wewe?Mpumbavu wewe! Ukinunua kitu cash haina maana hakina guarantee! Guarantee inakuwapo ya kukitengeneza bure ndani ya guarantee period. Kununua cash unaokoa pesa! Kununua kwa mkopo unalipa zaidi na riba juu wakati huo huo ni chako na watakitengeneza kikiharibika huwezi kuzira heti ukirudishe wakurudishia hela. Mayala acha utoto! Ujawahi kununua kitu cash nini?
Wewe binadamu unayetengeneza hizo ndege unaharibika kwa kuzeeka halafu unashangaa kitu unachotengeneza wewe kinapoharibika!!.Ndege mpya inaharibikaje kaka?
Kitu kikiwa kipya mpaka kugusa injini ni miaka 5 kwenda mbele....
Vigari tu hivi vya kijapani pamoja na kutumika kwao lkn vikija huku unaweza piga nayo miaka 7 ndo ukagusa injini....
Hiyo ndegw ni mbovu toka huko au service hakuna
Ndege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
Sawa Injinia wa kampuni ya BoeingNdege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
Mali mpya inapoingizwa sokoni, kuaminika ili kuliteka soko huwa inachukua muda!. Jana tu, huko Marekani, FAA walitoa amri ya ndege hizi za Airbus 220-300 zenye E2 za Pratty & Whitney's pamoja na Embraer E190 yenye E2.. Zifanyiwe ukaguzi baada ya ndege moja ya aina hiyo mali ya Swiss International Airlines kupata matatizo ya injini moja kuzimika ikiwa angani.
Inawezekana na hii ya kwetu baada ya kupata taarifa za jana Rubani akaamua kugeuza!!... Au yawezekana ikawa ni muendelezo wa vita ya kibiashara inayoendelea kati ya Boeing na Airbus wakigombea kuuza zaidi... Naamini tutapata majibu sahihi kutoka kwa wahusika.
https://atwonline.com/engines/faa-orders-some-a220-e2...
Wewe binadamu unayetengeneza hizo ndege unaharibika kwa kuzeeka halafu unashangaa kitu unachotengeneza wewe kinapoharibika!!.
Haiwezi kuwa vita ya Mashirika ya ndege bali watengeneza Engine ambao ni GE,RR,PW
Hata wewe unaweza kuandika habari unazoona haziandikwi na hao wahariri mbona Jf ni platform kubwa tu.Hizi ndege, mh!!!!!
Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!
Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
