Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Habarini.
Kuna habari nimeisoma mahali inaelezea kua ndege Airbus ya A220 ya Air Tanzania imepata hitilafu ya engine feet chache baada ya kuondoka Mwanza.
Ma rubani wamefanya kazi nzuri na kurudi uwanja wa Mwanza na kutua.
Sina uhakika na taarifa hii wadau ila mwenye nyama ajazie jazie.
👇
 
Tuache kurushiana maneno yasiyo na tija hapa, tuelekeze nguvu na akili zetu katika kumshukuru Mungu failure ya engine haikusababisha maafa, pengine tutoe ushauri wa nini kifanyike badala ya kukejeli as if ATCL haituhusu, ndege ni zetu sote, zinapotokea changamoto sote tuguswe sawia, kejeli, vijembe na kukatishana tamaa hakutuweki pamoja.
 
Ndege ni zenu na jiwe kama mnavyowananga wasio chama tawala
 
Una uhakika gani!?
Una undugu na Mungu!??

Acha kuropoka hovyo.

Nimeamini humu kuna maruhani kabisa!! Sikutegemea mtu aiombee nchi yake na mali zake mabaya kiasi hicho, anyway Mkuu tuwaombee watu wa namna hiyo
 
kama ni asubuhi itakuwa niliisikia mlio mkubwa sana kwa maana kuwa ilikuwa inasafiri chini sana,kama si asubuhi basi nimesikia ndege nyingine,mlio ulikua mkubwa kama inapita juu ya bati
 
Video ya siku zilizopita ikikupatia muonekano halisi wa ndege aina ya A220-300 inayomilikiwa na serikali ya Tanzania na kukodishwa kwa Air Tanzania iliyobatizwa jina la 'Hapa Kazi Tu' ilipotua Chato International airport Tanzania

Duh...!, ama kweli ng'ombe wa masikini hazai!. Haya ndio madhara ya watu kujifanya tunajua!. Tuliuliza humu kwa nini tununue ndege kwa cash money wakati hata hao nchi matajiri wananunua kwa hire purchase?!.

Sababu pekee ni performance guarantee, kikiharibika kitu chochote, suppliers wana ki replace kwa gharama yao. Ukinunua kitu kwa cash, unalipa pesa kidogo, then kinakuwa chako owned by you 100%, manufacturer anajivua responsibility!. Just imagine the cost!. Juzi juzi niliona ndege yetu ilifanyiwa matengezo makubwa kule South, leo tena hili?!.

Niliwahi eleza humu, huku kukimbilia kununua midege mikubwa ya long haul bila a bussiness plan na kuja kuyarusha domestic routes, tunazitesa bure engines kwa kuzichosha na kuzichakaza!.

Sasa tusubirie taarifa rasmi.

P
 
Ingekuwa vizuri kama ungeanzisha mada inayojitegemea kabisa maana hapa umeongea jambo la msingi na ambalo huenda wengi hawalifahamu.

Binafsi naona kuna something fishy katika swala zima la ununuzi wa hizi ndege.

No wonder zimehamishiwa vote 20 kama Zitto anavyodai.

Time will tell.
 
mashaka yanaanzia kwenye kununua ndege kwa pesa taslimu. hata mwendawazimu kama Kim au Trump hawawezi kufanya hivyo.
Kwakuwa keshanunua ndege za kutosha na kuna order ya nyingine mbili. Hili kuonyeshwa Magu ni kwa kiasi gani analitia taifa hasara ashauriwe kununua ndege zingine kama mbili hivi kwa hire purchase ambazo kikawaida watu wanavyofanya zinajilipa kutokana na mapato ya biashara halafu mapato yake yasiunganishwe na ndege zilizonunuliwa cash.

Serikari itakapokuwa inatakiwa kufanya top up kwa sababu ATCL aina hizo hela ya kulipia ndio njia pekee ya kumuonyesha he should stop this, maana hizo alizonazo zina tengeneza hasara hiyo hiyo awezi tu ona kwa sababu kalipia cash na hiyo biashara aina faida.

Worst of wana wanasheria wabovu mno kwenye maswala ya biashara wangekuwa makini kwa kanuni za manunuzi bombardier wangeileta bure ndege ilipo shikiliwa Canada, wangekuwa wamefungua kesi ya madai ya fidia zidi ya S.A justice department maana mahakama zao zimekiri wenyewe hawakuwa na jurisdiction ya kushika ndege in the first place na hawa Airbus sasa hivi wangekuwa washakula barua ya loss of income kwenye engine failure maana ni tatizo linalojulikana tayari kwenye ndege zao by experts.

Serikari duniani sio tu kwamba azijiusishi na biashara hila yetu ni kwamba hawana wataalamu wenye maarifa in the first place ya kuendesha hata hizo biashara.
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Mleta mada ni mpumbavu na sio mtz
 
Ukisoma hii habari. Inaonekana hizi egines za P&W Zina matatizo na sio ATC pekee. Sijui kwa nini watu Wana laumu as if ni Ndege za ATC tu ndo zenye engine failer
 
Mzungu ukinunua Kwake kwa cash imani huwa inamtoka anakupa famba tu.
Ila inasikitisha
 
Back
Top Bottom