Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Vipi, haya mambo ni mageni kwako? Hata kujua tu kuwa ndege hizi kubwa huwa zina engine 2 mpaka 3, nayo huelewi kabisa?Ingezima ingeweza kurudi Mwanza?
Hivi mwanza kuna garage pale?Nchi hii tumejaa majungu sana, wajane wapo siku zote tangu enzi za Yesu hawawezi kusaidika kwa pesa za ndege.
Magufuli nunua ndege zingine lkn kwa utaratibu.
Ujio wa airtz umeshusha bei za usafiri wa anga sana na sasa Precission air wameshusha hadi 40k na 91k

mashaka yanaanzia kwenye kununua ndege kwa pesa taslimu. hata mwendawazimu kama Kim au Trump hawawezi kufanya hivyo.
Mkuu Unafikiria Toyota Inatoa Warranty Miaka 3Hivi na ndege nazo zinakuaga under warranty kama vile ambavyo ukinunua gari mpya(mf. Toyota warrant inakua 3 years or 36,000miles) whichever occurs first.
Labda anadhani Waliotengeneza ni Wabongo wenzake, Mdubwana wote huo uruke hewani bila back up ya engine.Ina Engine Mbili Mkuu
Hapo sijakuelewa vzr mkuu,naomba ufafanuzi wako.Mkuu Unafikiria Toyota Inatoa Warranty Miaka 3
Serikali Ya Tanzania Ingekuwa Hainunui Gari Tena
When such a defect is detected, then all planes of similar brand are recalled for repair at the manufacturer's costsHivi na ndege nazo zinakuaga under warranty kama vile ambavyo ukinunua gari mpya(mf. Toyota warrant inakua 3 years or 36,000miles) whichever occurs first.
Hawa makaburu washenzi Sana washatubadilishia fuzi, huyu mwandishi mbona ka kaburu nae, tusiwe na hofu ndege iko kwenye warranty tutalipwa engene mpyaNdege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
Ndo Raha ya kitu kipyaWhen such a defect is detected, then all planes of similar brand are recalled for repair at the manufacturer's costs
Hamna Cha usiri kimemuuma hi habari hajaileta zittoSijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Mtu mmoja leo nimemsikia akisema kirefu cha ATC ni Any time light cancellation ,na wewe aunazungumzia same thing?Wakuu,
Ile Ndege yetu aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa imeshikiliwa Afrika kusini katika uwanja wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, jana imeendelea kupatwa na Majanga baada ya kidaiwa kwamba injini yake kupata matatizo wakati ikiwa angani ikotea mwanza kwenda Dar.
Imedaiwa rubani wa ndege hiyo aliamua kuirudisha mwanza na kutua salama japo Injini itahitajika kubadilishwa ili iweze kupaa. Alikuwa kapaa urefu wa futi 7,500
Matatizo kwenye ndege ni jambo la kawaida, tatizo ni kwanini Tunafichwa habari? Kwa usiri huu napata wasiwasi kama ATCL inafanya kazi kwa viwango vya kimataifa.
Nashauri tuiuze na hela tuwanununulie Bima ya Afya wajane na wote wasiojiweza Tanzania
Angalia mchoro hapa chini ya U turn ya nguvu. Rubani apewe tuzo au cheo Serikalini. Kaokoa roho za watu..
![]()
Air Tanzania’s flight TC 123 from Mwanza to Dar es Salaam yesterday suffered an engine failure not long after taking off from the lakeside city.
The aircraft had reached an altitude of just over 7.500 feet when the engine failed and the pilots decided to immediately return to their airport of origin as the nearest point of landing.
The aircraft landed safely but will have to remain on the ground for an engine change.
Meanwhile does this seem to be another case of an Airbus A220 engine failing, which prompted the FAA earlier this month to issue an Air Worthiness Directive about several similar engine failures of the Pratt and Whitney Geared Turbofan engine, which affected Air Baltic but also other airlines operating this aircraft type.
The FAA notice, which was published on September 10th, i.e just over two weeks ago, proposes the inspections of the PW1500Gs and PW1900G. It also requires that the gap between the oil supply of the engine and the fuel oil cooler must to be inspected on a more regular basis. Operators of this engine type are already exchaning the fuel oil cooler and the supply tube for new components to comply with Pratt & Whitney’s own service guidance.
The issue came to light earlier this year when P&W addressed it with its service bulletins.
Meanwhile has Swiss recently also suffered two engine failures in flight, raising additional questions about the PW engines used, more so as Airbus had similar experiences when the A320NEO family was launched, using this engine type.
These engine failures have in the past also affected Korean Air and other operators, raising serious questions about P&W’s workmanship, component reliability and generally the safety of this engine type.
Air Tanzania has two Airbus A220-300 in service and only recently ordered an additional two such aircraft for delivery in 2021.
![]()
Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure
AIRBUS A223’S ENGINE FAILURE PROMPTS RETURN OF FLIGHT TC123 TO MWANZA (Posted 27th September 2019) Air Tanzania’s flight TC 123 from Mwanza to Dar es Salaam yesterday suffered an engine…atcnews.org
ScrapHizi ndege, mh!!!!!
Tunainvest Wanafunzi ndio hao wanatoka hawajui hata tofauti ya R na L, acha tupande Ndege tu.Hatuombei mabaya lakini hii hela ya kununua hilo lindege ingeinvest kwa Afya, maji, Elimu nk
We umesikia mara ngapi zimefeli?We nawe ni mpuuzi. Wataalam wanashangaa kwa nini engine hizo zimekuwa zikifail, wewe usiye na ujuzi unasema ni kawaida.
Kiuhalisia ndege haistahili kuharibika ikiwa inafanya kazi. Kila part ina muda wake wa replacement, kabla ya muda ambao hiyo part inaweza kupata failure. Kwa hiyo kimsingi ndege haistahili kuharibika na wala replacement ya parts huwa haisubiri part ipate failure.
Na hayo yaliyokuwepo zamani. ?Safi Sana....hili ni somo kwa nchi kuwa tuache kukurupuka next time kununua haya madude. Kudos our pilots