Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

uliingizwa chaka unajua. hata ndege hiyo imekujaje kujaje au imepatikanaje...wakati toka uzaliwa hujawahi kulipa hata senti ya kodi serikalini
Hata akinunua sukari analipa kodi akipanda daladala analipa kodi. Hajalipa kodi ki vipi?
 
tulia wewe pimbi kwani hiyo mitumba ya Japan kanunua magufuli??
 
Hao maruban hawana akili ndege ilishafika singida kumalizia dar walishindwa nn km za SGD to MZA na SGD to DSM n km ngap hapo difference Kama n emergency landing siwAnge opt KIA airport saa zingine Hawa wafanyakaz ndo wanachangia kurudisha maendeleo nyuma
 
shida sio wafanyakazi,shida ni jiwe
 
Ukisoma hii habari. Inaonekana hizi egines za P&W Zina matatizo na sio ATC pekee. Sijui kwa nini watu Wana laumu as if ni Ndege za ATC tu ndo zenye engine failer
Mtoto wa jirani akiwa mwizi na wa kwako awe mwizi
 
Kwa hiyo ndege zenu hazipaswi kuwa na hitirafu kabisaa, kana kwamba zimetengenezwa na Mungu eti ee? Kama ilivyo kwa Gari hats ndege hivyo hivyo zinaharibika na kutengenezwa!
Ndege haipaswi kuwa na hitilafu, au mimi ndio sijakuelewa?
 
ujasili ndo nini?
 
Eti matatizo Kwenye ndege ni kitu cha kawaida, yaani ni ndege za ATCL tu ndo zinaandamwa na matatizo, haikutokea kwa Fast jet wala haitokei kwa Precision, sisi hapa tunajiandaa kutangaziwa msiba wa taifa, endeleeni kupanda hizo ndege
 
hizi ndege hazina msaada wowote kwa taifa,hii kampuni ife tu
 
Hizi ndege, mh!!!!!

Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!

Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Hahahahah wakimaliza wk bila kusifia magazeti yanafungiwa, watakula wapi?
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Wewe endelea kupanda hizo ndege tatizo liko wapi? ila kumbuka tu kuandika mirathi mapema
 
Hizi ndege, mh!!!!!

Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!

Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
1. Kibaya ni kuwa tunasifia kununua ndege kwa gharama kubwa wakati huu ambao mashirika mengi yaliyo kwenye biashara hiyo wanalalamika kuwa wanapata hasara, na
2. Inasemekana kuwa utaratibu na sheria ya manunuzi ya umma havikufuatwa. Nani atamwajibisha nani zinapotokea dosari?
 
Hiyo ndege ni kimeo. Ni ndege inayodaiwa kuwa na kasoro nyingi sana toka ikiwa kiwandani.
Mimi nilishasema hata bure, ndege za ATCL sitazipanda. Wanafanya kazi kwa kubahatisha sana.
hii kampuni ife tu,hela zinapotea bure tu, pumbavuuu kabisa jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…