Ila tunaopanda sio wote wana siasa. Kwanini sasa tuingie kwenye siasa wakati hiyo ni huduma. Kwa mfano, Muhimbili nako utasemaje?Hiyo ndege yenyewe ni siasa ndo maana wenyewe wakaipa chapa ya ule msemo wao maarufu wa kampeni wa "Hapa Kazi Tu"
Kwa matatizo engine za Pratt & Whitney ziliyo nayo,je kuna haja ya kuangalia upya uagizwaji wa ndege za Airbus A220-300 zenye engine aina ya Pratt & Whitney?I believe yes.Mimi naamini sana products za Rolls Royce.Hebu tuachane na engine za Pratt and Whitney,lets go for Rolls Royce for a change.Wakuu,
Ile Ndege yetu aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa imeshikiliwa Afrika kusini katika uwanja wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, jana imeendelea kupatwa na Majanga baada ya kudaiwa kwamba injini yake kupata matatizo wakati ikiwa angani ikitokea Mwanza kwenda Dar.
Imedaiwa rubani wa ndege hiyo aliamua kuirudisha Mwanza na kutua salama japo Injini itahitajika kubadilishwa ili iweze kupaa. Alikuwa kapaa angani urefu wa futi 7,500.
Matatizo kwenye ndege ni jambo la kawaida, tatizo ni kwanini tunafichwa habari? Kwa usiri huu napata wasiwasi kama ATCL inafanya kazi kwa viwango vya kimataifa. Wasafiri walitakiwa waambiwe tatizo na kuombwa radhi.
Nashauri tuiuze na hela tuwanununulie Bima ya Afya wajane na wote wasiojiweza Tanzania.
Angalia mchoro hapa chini ya U turn ya nguvu akiwa Singida njiani kwenda Dar akaamua kurudi Mwanza. Rubani apewe tuzo au cheo Serikalini. Kaokoa roho za watu..
![]()
Air Tanzania’s flight TC 123 from Mwanza to Dar es Salaam yesterday suffered an engine failure not long after taking off from the lakeside city.
The aircraft had reached an altitude of just over 7.500 feet when the engine failed and the pilots decided to immediately return to their airport of origin as the nearest point of landing.
The aircraft landed safely but will have to remain on the ground for an engine change.
Meanwhile does this seem to be another case of an Airbus A220 engine failing, which prompted the FAA earlier this month to issue an Air Worthiness Directive about several similar engine failures of the Pratt and Whitney Geared Turbofan engine, which affected Air Baltic but also other airlines operating this aircraft type.
The FAA notice, which was published on September 10th, i.e just over two weeks ago, proposes the inspections of the PW1500Gs and PW1900G. It also requires that the gap between the oil supply of the engine and the fuel oil cooler must to be inspected on a more regular basis. Operators of this engine type are already exchaning the fuel oil cooler and the supply tube for new components to comply with Pratt & Whitney’s own service guidance.
The issue came to light earlier this year when P&W addressed it with its service bulletins.
Meanwhile has Swiss recently also suffered two engine failures in flight, raising additional questions about the PW engines used, more so as Airbus had similar experiences when the A320NEO family was launched, using this engine type.
These engine failures have in the past also affected Korean Air and other operators, raising serious questions about P&W’s workmanship, component reliability and generally the safety of this engine type.
Air Tanzania has two Airbus A220-300 in service and only recently ordered an additional two such aircraft for delivery in 2021.
![]()
Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure
AIRBUS A223’S ENGINE FAILURE PROMPTS RETURN OF FLIGHT TC123 TO MWANZA (Posted 27th September 2019) Air Tanzania’s flight TC 123 from Mwanza to Dar es Salaam yesterday suffered an engine…atcnews.org
Umesoma habari yote? Hii ndege ni toleo jipya. Wamesema hili tatizo limekuwa likitokea kwa ndege nyingine za aina hiyo. Uzuri ni kwamba tatizo linajulikana na kama ni kubadilisha engine basi Airbus ndiyo wabaeba gharama.
Ungewahi kufanya kazi kiwanda chochote ungejifunza kuwa hata gari mpya zinazopita computer test zote inaweza kuharibika siku mteja akiinunua...
Brand new imara ni alichoumba mungu tu.
Haya ndio mambo yanasababisha hua naogopa sana kupanda ndege. Sijawahi kuzoea hiku chombo cha angani.
Shukrani abiria wote na marubani wao walitua salama na ni wazima.
Hizi ndege, mh!!!!!
Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!
Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?


Basi umedandia treni ya kigoma wakati unakwenda mbeya. Huo ndio ushamba na ubwege. Unapoteza time ngoja nikamue dhahabu zangu msukuma mie.
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Usifananishe matengenezo ya gari ya familia yako ma kodi za watanzania. Ya familia anachangia baba na mama na nyote mnapanda bure. Hapa ni kinyumeKama taifa na kama serikali lazima hiwe na vyombo vyake vya usafiri viwe vinaingiza faida au la! Nchi kubwa kama Tanzania haiwezi kukosa ndege kwa wananchi wake. Ndege kama mashine au gari la familia lazima liharibike na kufanyiwa matengenezo. Familia/baba/mama zenye magari ya kutembelea hayo magari yanawaingizia nini zaidi ya kutumia hela za familia kuyatengeneza na kuyahudumia? Cha ajabu nini kwa ndege!
Wanaume wa Dar. Teh
Pointi iliyopo ni kuwa je, dege ni bovu au sio bovu? Full stop!Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Kwa hiyo imefanyaje ikarudi? Mbona haikuendelea na safari?Ingezima ingeweza kurudi Mwanza?
Unawapongeza kwa lipi? Huo ni wajibu wa kazi yao, na wamefundishwa kukabili zaidi ya hilo.Nawapongeza Marubani. Asante Mungu.
Na usiri usio na sababu unaleta picha mbaya na kuharibu image ya kampuni. Makosa ya engine si ya ATCL, ni ya watengenezaji. Kuficha huwapa competitors wako kukuzushia mengi.Pointi iliyopo ni kuwa je, dege ni bovu au sio bovu? Full stop!
Kwani aliezinunua hizo ndege si nae hizi herufi bado zimeendelea kuwa changamoto kwake? Hulijui hilo?Tunainvest Wanafunzi ndio hao wanatoka hawajui hata tofauti ya R na L, acha tupande Ndege tu.