Umesema sahihi MkuuDaah nadhani Air Tanzania wajifunze kwetu tukitaka kununua gari tu tunauliza uliza mpaka Bibi ataulizwa je nikinunua Mazda BT 50 ntapata parts zake pindi ikiharibika ila ninyi Ndege mnanunua na hamjui mtapata Engine wapi pindi ikisumbua na navyojua ndege inavyokaa bila kutumika gharama zake ni kubwa sana na pia uchakavu unaendelea... ila naomba mfanikishe maana mwanzo ni mgumu..
Lakini shirika si linatengeneza faida na kutoa gawio? ATCL mnatisha
Shirika linaweza kwenda vizuri sema wahusika wengi sio Wazalendo na pia shirika lina Siasa nyingi sana...sidhani kwenye manunuzi wanahusishwa wataalamu hata kutoka Nje maana sisi wenywe sio wajuvi wa hizi mambo watakachoangalia ni % zao tu hata kama shirika bado ni changa...kama Bus tu zinatushinda hizo ndege naona wanajitahidi mno mno..Umesema sahihi Mkuu
Nadhani Serikali kupitia wataalamu wao, watashauri mamlaka vyema kwenye ununuzi wa ndege nyingine wakati Ujao
All in all, Serikali ilifanyika uamuzi sahihi kwenye ununuzi wa ndege japo Kuna haja reforms zikafanyika kwenye upande wa Uendeshaji
Kwani marubani si wako Malaysia na posho wanapiga mkuu sijui mnaita per diem sijui nini vile jumlisha anayeidhinisha jibu ni urefu wa kamba kutoka Tanganyika mpaka Malaysia.Daah nadhani Air Tanzania wajifunze kwetu tukitaka kununua gari tu tunauliza uliza mpaka Bibi ataulizwa je nikinunua Mazda BT 50 ntapata parts zake pindi ikiharibika ila ninyi Ndege mnanunua na hamjui mtapata Engine wapi pindi ikisumbua na navyojua ndege inavyokaa bila kutumika gharama zake ni kubwa sana na pia uchakavu unaendelea... ila naomba mfanikishe maana mwanzo ni mgumu..
Wakati huo wewe tukiwa nachakukula kibogaHii nayo ni mojawapo ya Legacy za mwendazake.
Yule mzee inafaa twende tukalichape bakora kaburi lake kila mara.
Hamna usahihi wa kununua mindege kibao huku tunaendelea kupata hasara kama taifa, Ila bado serikali inaagiza ndege.Umesema sahihi Mkuu
Nadhani Serikali kupitia wataalamu wao, watashauri mamlaka vyema kwenye ununuzi wa ndege nyingine wakati Ujao
All in all, Serikali ilifanyika uamuzi sahihi kwenye ununuzi wa ndege japo Kuna haja reforms zikafanyika kwenye upande wa Uendeshaji
Ukitaka kusafiri utaweza kuipanda?Hiyo ndege ikiweza kufaa tena na kurudi Tz kuendelea kufanya safari zake kwa ufanisi mniite mbwa.
Hasara tunazopata ni kutokana na Uendeshaji mbovu unaotokana na menejimenti mbaya...Hamna usahihi wa kununua mindege kibao huku tunaendelea kupata hasara kama taifa, Ila bado serikali inaagiza ndege.
Ili hayo mashirika yaanze kuendeshwa Kwa faida hatuna budi kuajiri ma-CEOs Kwa kuangalia merits na kuwapatia malengo ya kuyafikia (KPIs) na mwisho wa Mwaka tunawaita Kwa kuwahojiShirika linaweza kwenda vizuri sema wahusika wengi sio Wazalendo na pia shirika lina Siasa nyingi sana...sidhani kwenye manunuzi wanahusishwa wataalamu hata kutoka Nje maana sisi wenywe sio wajuvi wa hizi mambo watakachoangalia ni % zao tu hata kama shirika bado ni changa...kama Bus tu zinatushinda hizo ndege naona wanajitahidi mno mno..
Mkuu, ndege siyo kama magari. Sikatai kuwa kuna uzembe wa planning au business plan kwa ujumla kwenye shirika letu, ila hii comment yako hailengi kwenye kiini cha tatizo.Daah nadhani Air Tanzania wajifunze kwetu tukitaka kununua gari tu tunauliza uliza mpaka Bibi ataulizwa je nikinunua Mazda BT 50 ntapata parts zake pindi ikiharibika ila ninyi Ndege mnanunua na hamjui mtapata Engine wapi pindi ikisumbua na navyojua ndege inavyokaa bila kutumika gharama zake ni kubwa sana na pia uchakavu unaendelea... ila naomba mfanikishe maana mwanzo ni mgumu..