macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 22,599
- 41,633
Biashara ya ndege kwa ujumla ni ngumu ila inapokutana tena na mtanzania basi mambo yanakuwa mabaya zaidi. Nakubali kuwa tuna tatizo la management.Hasara tunazopata ni kutokana na Uendeshaji mbovu unaotokana na menejimenti mbaya...
Siku tukitafuta CEO ambaye ataajiriwa Kwa merits zake badala ya Uteuzi wa Rais ndiyo Siku ambapo tutaanza kupata Faida kwenye hizo ndege