Aina za single mother

Ukweli ni kuwa hakuna Mwanamke alizaliwa akiwa single Mather hivyo hizo tabia zote ulizotaja wanazo tangu wakiwa hawana watoto hivyo jua hata ukioa asie na mtoto anaweza kukuacha kama hao single mother walivyoachika walipokuwa, hivyo hiyo si sababu, na Wala hakuna sifa utataja ya kudumu na Mwanamke Wala Mwanamke kudumu na mume Bali kifo ndo kitaonyesha mmedumu, bila kujali ni single Mather au hapana, wewe ni muoga, Simba hujaribu bahati yake huku akijilinda asidhurike, Oa Mwanamke na jilinde asikudhuru, Olewa na mwanaume na jilinde asikudhuru, Imeisha hiyo.
 
Mapito yanabadilisha mtazamo wa mtu. Single mother anaishi na majeraha moyoni kwaiyo hawezi kuwa na innocence kwenye akili yake. Risk ya ku-settle na single mother ni kubwa zaidi.
 
Mimi sio dogo, kwani ukimkubali wewe ndo nimkubali mimi? Acha ushamba na ujuha Nan kakuambia nyumbani kunapikwa kama hauna kihoro?
Wewe ni dogo hata ukibisha ila ukweli ni kuwa wewe ni dogo.
Unambishia nani hapa wakati wewe ni under 30?
Bado una safari ndefu mbele halafu unabishana na wanaume hapa?
Unataka uletewe kijora hapo ndio ujue kuwa tayari ushaanza kuondoka kwenye misingi ya kiume?
Unasema umelelewa na wazazi wote wakati kauli zako zinaonyesha dhahiri shayiri kuwa wewe ni Single mother product au ni single mother hapo ulipo?.
 
Wasema wewe....

Mm nachosemea ni kuwabeza single Maza.... Sasa kwahiyo kuwabeza ndo masculinity?

Labda unifundishe,

Sisi ni wanaume
 
Dada ni wewe unaingia period, kabadilishe pad urudi jukwaani,

Na kiswahili chako Cha kimakonde,
Kumbe ndo huwa mnafanyaga?

sijagundua kama nina kiswahili cha kimakonde kwa kuwa wewe umegundua 9/10 wewe ndiye!
 
Single mazaz on trending........aya mtusamehe sanaaaaa
 
Wasema wewe....

Mm nachosemea ni kuwabeza single Maza.... Sasa kwahiyo kuwabeza ndo masculinity?

Labda unifundishe,

Sisi ni wanaume
Mwamba ngoja nikueleweshe kidogo katika angle ya kuielewa dhima ya hizi hoja,

Wewe unaelewa kama wanabezwa ila uhalisia sio kwamba wanabezwa.
Ni vijana wanaonyeshwa hali halisi ili pindi waingiapo katika mchakato wa kuishi na hawa watu wawe wanajua situation nzima iliyopo na itakayotokea katika maisha yao huko mbeleni.
So wasione kama ni suprise tena.
Hivyo waishi wakiwa wako tayari wamejiandaa kisaikolojia juu ya yajayo.

Nikupe mfano hai mimi nilioa single mother tukaishi miaka kumi tukaachana.
Nilivumilia mengi sana kama ambavyo yeye alivumilia kwangu.
But niliyoyavumilia ni hayo unayoyaona juu hapo kwenye mada.

Na hata sasa nipo na single maza mwingine.
But yule wa kwanza alinifundisha ni burtton gani sahihi ya kubonyeza napoishi na single maza au hata Kahaba yeyote.
 
Hapo nimekuelewa vzr aseeh,

Ndo maana me nikasema pia kuja kuhusiana nao ni ngumu coz ninaona wadau wanayopitia,

Shukrani
 
Nimekupata sana vyema Mkuu ,, mwanaume mzima kuowa mwanamke mwenye mtoto hapana kabisa ..

Muulize singo mom kama yupo teari mtoto wake wa kiume aowe mwanamke mwenye mtoto uone atakavo kujibu

moto wake hayupo teari hata kidogo..

Wanawake ni viumbe hatari sana ,japo kuwa ni Mama zetu , Dada zetu shangazi zetu ,etc
Mwanamke hayupo teari hata kuona mdogo wake wa kiume anachunwa akati yeye mjini yupo anadanga. Tuwe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…