Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
na ndio zinadumu zaidi kuliko hizo za nakupenda kutwa nzima..... zile ulikuwa unampenda mtu baada ya kuolewa
Oyaaaa.... mbona nyie hamtaki kusema ndoa zenu ni za aina gani?:thinking:Daaah mkuu umenikumbusha mabali sana..:flock:
Hahahaha....Dah!.... Hapo naona panakuwa hapanaKuna Ndoa za maono/kuoteshwa.Hizi zipo kanisani tu kwa walokole.Kijana anamwambia binti direct au kupitia mchungaji kuwa Bwana amemuonesha maono kuwa ndiye mkewe.Ndoa nyingine huwa zinaendelea lakn nyingine zinakufa pale kijana ''anapopewa maono'' mengine pindi binti mzuri mwenye upako anapokuja kanisani.
nimeona hapa tu:
Ila nadhani hakuna ndoa isiyo na element ya maslahi ......
Kuna Ndoa za maono/kuoteshwa.Hizi zipo kanisani tu kwa walokole.Kijana anamwambia binti direct au kupitia mchungaji kuwa Bwana amemuonesha maono kuwa ndiye mkewe.Ndoa nyingine huwa zinaendelea lakn nyingine zinakufa pale kijana ''anapopewa maono'' mengine pindi binti mzuri mwenye upako anapokuja kanisani.
Ndoa yako ni ya aina gani katika haya magroup?
1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme
2.Ndoa za Kulazimisha
Hizi ni zile ndoa binti anaweza kuamua kubeba ujauzito na kutumia kama kigezo cha kuolewa
Na mwanaume anaamua kuoa kwa sababu tu hana namna (Hapa mnaweza kuongeza maana sababu ni nyingi sana.
3.Ndoa za kutamaniana.
Mmeajikuta katika tamaa za kimwili mmeendelea na kutamaniana hatimae inafikia hatua mnawekana ndani..
Matamanio yakiisha kasheshe zinaanza
4. Ndoa za Madawa
(msinipige mawe heheh)Hizi mambo zipo bwana vibinti vya siku hizi vinakamata watu kwa kuwatumia kalumanzira basi dawa zikishindikana kurenew kasheshe zinaanza ndani ya nyumba..mara ooh mara eeh.
5. Ndoa za kuoneana huruma- By PakaJimmy
Unakuta binti anakusimulia maisha aliyopitia...magumu sana, na hakika anatamani asingezaliwa!..
Ukimsikiliza kwa umakini waweza kata shauri kumuoa!
Bibi yangu alikuwa ananipa hili somo na kuniuliza mjukuu wangu wewe upo Kundi gani katika haya ?
Kazi kwenu wana MMU
Ndoa za FAMILIA KUPENDANA!...
Unakuta familia mbili zimekuwa na urafiki wa aina yake....wanakuwa wametengeneza undugu kabisa...Sasa kama kuna vijana rijali wanaamua kufanya kweli kutokana na loophole ya urafiki wa hizi familia, na wazazi automatically wanalipokea wazo hilo!
Kuna Ndoa za maono/kuoteshwa.Hizi zipo kanisani tu kwa walokole.Kijana anamwambia binti direct au kupitia mchungaji kuwa Bwana amemuonesha maono kuwa ndiye mkewe.Ndoa nyingine huwa zinaendelea lakn nyingine zinakufa pale kijana ''anapopewa maono'' mengine pindi binti mzuri mwenye upako anapokuja kanisani.
FL1
Naona labda me ni mzito kidogo kuelewa. Hivi ndoa ya kina *** walioenda "age" na kujikuta wanazoa chochote kinachokatiza anga zao (mathalan hata changudoa) zitakua kwenye category gani..
Vipi zile Ndoa za kumpenda mtu kwa sababu ni kiongozi/Mtumishi/Mwinjilist/Mwimbaji/Mwanasiasa....... siku akiacha hivyo vyote sijui Ndoa inaendaje!?
SI Unit hii ni ngumu kuing'amua
Naomba kwa hisani na taadhima
Pakajimmy
Aspirin
Babu DC watwambie inagota wapi..
Ndoa za kubakana....
Hizi zilikuwa zinafanyika sana kule kwetu Moshi hasa kipindi cha Christmass misa ya usiku.
Unavizia kabinti kametoka church unakatupia mgongoni. Kakiingia room unakabaka, kesho hakaondoki ndo imetoka hivyo.