Aina ya vitambi

nyamchele

JF-Expert Member
May 28, 2014
1,325
1,034
IMG-20160114-WA0035.jpg
 
Namshukuru sana Muumba mimi hata ile dalili ya kitambi sina.

Sina cha nyongeza zaidi ya kushukuru
 
Mungu ana upendeleo HARUFU
Kiongozi wewe mtu wa Dini bwana, usiniangushe.

Mungu hawezi kuwa na upendeleo.

Vitambi vingi ni vya kujitakia, kupenda penda kula hovyo, kutozingatia mazoezi.

Na kuna mijitu mingine huwa inapenda vitambi sijui kwanini!

Jitu lingine halina hata kitambi, ila litajilazimisha kuchomekea hadi tumboni alimradi tu na lenyewe lionekane lina kitambi
 
Aisee Umeongea kweli tupu reply yangu ilikuwa kuchagiza tuu
 
Kiongozi wewe mtu wa Dini bwana, usiniangushe.

Mungu hawezi kuwa na upendeleo.

Vitambi vingi ni vya kujitakia, kupenda penda kula hovyo, kutozingatia mazoezi.

Na kuna mijitu mingine huwa inapenda vitambi sijui kwanini!

Jitu lingine halina hata kitambi, ila litajilazimisha kuchomekea hadi tumboni alimradi tu na lenyewe lionekane lina kitambi

Hapo umewagusa watu..na beer sasa,
 
Back
Top Bottom